Namuona Ahmed Msengi ndani ya Bunge?

Mkuu wakati unaandika thread ulipanda bodaboda nini? No hurry in Africa....rudi tena ukiwa umetulia vizuri ili najue ulikuwa unatupa ujumbe gani mzuri.
 
anatafakari jinsi ya kunga kucha za mnyika au tundu lissu bila ganzi?
 
Alikuwepo bungeni amekaa mwenyewe kwenye huo mstari amevaa suti ya rangi ya magereza hii nchi kweli ni noma muhalifu anatanua hivi au ndiyo policcm wanatutambia
 
Back
Top Bottom