CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by greenstar, Jun 26, 2012.

 1. g

  greenstar JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
  Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
  Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
  nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
  Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
  Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

  Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
  Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,Mkono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kweli wewe nyota ya kijani kabisaa, it is true ufisadi wa kweli upo ccm!!!!
  toka asubuhi mpa sasa umetengeneza buku ngapi,uzipitie pale nyumba ya kijani.
  dhaifuu,huzaa dhaifu mwenzake.
   
 3. ndinga

  ndinga Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huku ndo kutafutiana Ban unaleta propaganda za kichokozi.
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Vichaa vingi sana huwa vinaamka msimu wa baridi ukifika.....wahi mirembe wewe!.......na kwa taarifa yako kichaa huwa hakiponi.
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kachukue posho yako tayari usha chafua hali ya hewa tayari
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Huu sio muda wa kubishana na Vichaa wanaokimbilia kuanzisha thread badala ya kuchangia za wenzao kutokana na udhaifu wa Thread zao
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Umenena mkuu huwa Ban zangu nyingi nazipata kupitia thread kama hizi
   
 8. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135

  Uzi dhaifu, wa kiCCM. Upuuzi unatakiwa utafutiwe ukurasa wake.
   
 9. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,171
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli unataka kutoa ushawishi hapa hao wezi waliooza wanaweza wakafufuka pole we!!
  Wala hata ungefanyaje!! hamponi. Akina Mkyembe bado mtawapoison tu! kwenu hao ni wapinzani. Au mmerudisha ile sumu ya URUSI.
   
 10. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kwani umeambiwa interest yetu watanzania ni nani kazushiwa uzinzi au nani hajazushiwa?? Tatizo la nyie vijana msio na Job Security haumuulizi hata anayekutuma kuleta hoja kama itakubaliwa au la?? Kama masaburi yako yanakuwasha humu kuna ma Obama na ma Cameron kibao watakushukia muda si mrefu maana wana hasira na mgomo wa madaktari na mabilioni yaliyofichwa Uswisi na waume zako.
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  CCM ni pango la wezi hao wanaojitutumua kutetea wananchi ndio wajibu wa kila mbunge afanye hivyo
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Waache wenye macho wataamua wenyewe kuliko wewe ambaye huna macho, unajidai kuwasaidia wenye macho kuona. Kuna asiyefahamu ni chama gani kilichojisahau na kinachoendelea kupoteza mvuto kwa Jamii ?
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Please let us not hate all that is GREEN!
   
 14. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Ushanichefua yani tangu jana unawaza uanzishe hiki? Kweli mbwa kala mbwa wew hata tukuchemshe na kukukamua utanuka tu kama umeoga shombo ya samaki..........
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Hapa sio kwa kukaa unaweza pata ban ukiwa unaona hivi hivi
   
 16. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hoja dhaifu
   
 17. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wajinga hawaachwi kuzaliwa hasa tanzania kama mtanzania wa leo bado una ng'ang'nia ccm ambayo kwa utajiri nchi yetu uliyonayo wao wanatangaza ni maskini ili waweze kula vizuri na kuwaona watanzania ni wajinga kiasi hicho, safari hii hatudanganyiki tena hapa mpaka kieleweke kama vipi matokeo zaidi yamebebwa na gari imara yenye namba ya usaji
  T2015 CDM inayoendeshwa na dereva makini mwenye lesseni ya uendeshaji na ya Udaktari bali si mwingine ni DR SLAA
   
 18. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Muoneeni huruma huyu bwana........... Hajui alitendalo. Inaelekea yupo hapa kufanya kazi yake na ndiyo maana sentence zake ni za kuunga unga tu bora ametimiza wajibu wake. Inaelekea CCM wameshindwa kuwalipa akina FF, MS ambao walikuwa na akili kidogo sasa wanawasukumizia hawa mbumbumbu!!
   
 19. d

  dguyana JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba mmeshindwa kila kitu sasa mnatutafutia ban tu.
   
 20. M

  MTK JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  You know the words BUT you are missing their meaning!! ongeza bidii.
   
Loading...