CCM yampitisha mgombea wake wa Naibu Meya - Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yampitisha mgombea wake wa Naibu Meya - Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Jul 17, 2012.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kikao cha madiwani wa ccm kilichokaa jana kimempitisha Mh lota laizer Diwani wa Kata ya Baraa kuwa mgombea wa kiti cha naibu meya,awali walikuwa madiwani wa Moshono mh Paul matsen na mh Ole sekeyani wa Terat waliojaza fomu za kugombea nafasi hiyo,chama Ngazi ya Wilaya kikarudisha majina yote matatu ndipo jina la Lota likapita kwa kupata kura Mh Lota Laizer kura 5,Mh Ole sekeyani 3,na Mh Paul 2.
  Mh Lota Laizer aliwahi kuwa Meya wa Arusha kabla ya kulazimishwa kujiuzulu na chama chake kwa kashfa ya kuuza maeneo ya wazi hasa kiwanja kilichoko oposite na Soko la Kilombero.Diwani huyu wa bara ambaye ni fisadi ndio leo anachaguliwa kuwa naibu meya,huyu Mh Lota laizer ameuza viwanja vingi vya wazi Arusha,eneo la Ngiwaranecha,shule ya sekondari Baraa na mengine mengi.
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nani atakuwa msafi ccm? maana samaki mmoja akioza wote wameoza
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jibu ni rahisi...

  Pale CCM bado kuna watu wazuri .... Wahame chama haraka ... Waanzisha CCM yenye misingi na itikadi za Kweli Za TANU na ASP ... Wafanye Update kidogo... Iwe ile CCM AZIMIO LA ARUSHA CCM AA the Conservative CCM... SALM AHAMED SALM anaweza kutoa ushauri kwa hili kundi.

  CCM ya Pili hii ya kina Kikwete, Lowasa na wenzake ... CCM AZIMIO LA ZANZIBAR CCM AZ The Liberal CCM.

  Hawa Conservative CCM hawa ndio wanaweza kuokoa nchi kwa kuwatimua hawa liberal wasinii wakubwa wanohatarisha Taifa. Hawa CCM AA ndio wanaweza kuchuana ki ukweli na CHADEMA na kuleta upinzani wa kweli wenye tija na maendeleo.

  ..Ninaamuru hili litokeee!!
   
 4. m

  mamberi Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni Kali je tutafika? Haohao ndio wanaogawana viwanja Kule kwa Mromboo na Kule Burka mikahawani
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwakuwa wanachaguana wenyewe waacheni wafanye wanavyotaka
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Who cares? Fahari yangu ni CHADEMA, CHAGUO LA MUNGU NA UMMA.
   
Loading...