Mwigulu Nchemba, Wilson Mukama walipuliwa Bungeni

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Sabrina Sungura amewalipua viongozi Waandamizi wa CCM...Mwigulu Nchemba (Mb) na Wilson Mukama. Nchemba ametajwa kwamba kila kampeni za uchaguzi mdogo alizosimamia (Arumeru na Igunga) kulitokea Mauaji tofauti na chaguzi za awali kama Tunduru, Busanda, Biharamulo na Mbeya (V). Wilson Mukama ametajwa kwa kitendo chake cha kukituhumu Chadema kuingiza Makomandoo toka Afghanstan lakini mpaka leo hii hajachukuliwa hatua zozote...Hata hivyo kama ilivyotarajiwa Spika Anna Samahani Anne Makinda ameingilia kati
 
  • Thanks
Reactions: FJM
siasa za sasa zimebadilika wao wanajua ni propaganda tu sasa kizazi cha facebook hakidanganyiki wataua watu bure m4c pipoooooooooooooooooz
 
Jibu ni rahisi...

Pale CCM bado kuna watu wazuri .... Wahame chama haraka ... Waanzisha CCM yenye misingi na itikadi za Kweli Za TANU na ASP ... Wafanye Update kidogo... Iwe ile CCM AZIMIO LA ARUSHA CCM AA the Conservative CCM... SALM AHAMED SALM anaweza kutoa ushauri kwa hili kundi.

CCM ya Pili hii ya kina Kikwete, Lowasa na wenzake ... CCM AZIMIO LA ZANZIBAR CCM AZ The Liberal CCM.

Hawa Conservative CCM hawa ndio wanaweza kuokoa nchi kwa kuwatimua hawa liberal wasinii wakubwa wanohatarisha Taifa. Hawa CCM AA ndio wanaweza kuchuana ki ukweli na CHADEMA na kuleta upinzani wa kweli wenye tija na maendeleo.

..Ninaamuru hili litokeee!!
 
ccm wameishiwa mbinu za kuongoza na wanachokifanya sasa ni kutukomoa na kututisha 2
 
Big Up Subira! Umeupigilia msumari pahala pake, japo Bi Kiroboto kajaribu kuintervene, lakini Message Delivered! Mbona jana Murderer Mwigulu alivyokuwa anatuhumu wengine kwa mauaji hakukatishwa?
 
Jibu ni rahisi...

Pale CCM bado kuna watu wazuri .... Wahame chama haraka ... Waanzisha CCM yenye misingi na itikadi za Kweli Za TANU na ASP ... Wafanye Update kidogo... Iwe ile CCM AZIMIO LA ARUSHA CCM AA the Conservative CCM... SALM AHAMED SALM anaweza kutoa ushauri kwa hili kundi.

CCM ya Pili hii ya kina Kikwete, Lowasa na wenzake ... CCM AZIMIO LA ZANZIBAR CCM AZ The Liberal CCM.

Hawa Conservative CCM hawa ndio wanaweza kuokoa nchi kwa kuwatimua hawa liberal wasinii wakubwa wanohatarisha Taifa. Hawa CCM AA ndio wanaweza kuchuana ki ukweli na CHADEMA na kuleta upinzani wa kweli wenye tija na maendeleo.

..Ninaamuru hili litokeee!!

Nakubaliana na mawazo yako mkuu!!
 
Back
Top Bottom