Wabunge wanaounga mkono hoja 100% ni janga la Taifa la Tanzania.

Naytsory

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
2,192
791
Ni aibu kwa Mbunge wako kuunga mkono hoja 100% kisha anaanza kuiomba na kuikosoa serikali kwa
kutoa mapovu mengi maana yake nini? Mbunge kama huyo uwezo wake ni mdogo, amehongwa, anaijali Serikali kuliko wananchi wake au ana matatizo ya akili na hana kumbukumbu. Hawa hawafai kuwa wawakilishi wawananchi na wananchi wawe makini kuwafahamu kabla ya uchaguzi ujao na wasirudi bungeni. Kama umeunga mkono hoja unakosoa nini tena? Unatupotezea muda.
 
Back
Top Bottom