Habari ndugu wana JF!
Napenda kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kutengeneza system yetu mapema ni vizuri tukijuana ili kuweza kutengeneza system iliyoiva kama mnavyojua Jimbo letu lina challenge...
Posted on July 17, 2012 by zanzibaryetu
Mwakilishi wa Mji Mkongwe (CUF) Ismail Jussa Ladhu (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Uzini (CCM), Mohammed Raza nje ya ukumbi wa Baraza la...
Kweli kwa sasa tunduma ni chadema ccm ilisha kufa na ikazikwa. Swali langu kwa mbunge wangu elenest silinde(without prejudice) tujidaie nini na wewe? Swala la maji tunduma ni kero kubwa na...
:yawn:Katika ufahamu wangu wa kawaida nilionao sina uhakika kama watanzania wenye uwezo wa kujua na kufafanua katiba yao wanaweza kufika 50% sasa iweje kuwepo kwa mchakato wa kukusanya maoni ya...
Mbunge wa Viti maalum amelichangamsha bunge kwa kusema kuwa "Wafungwa wenye wake serikali ihakikishe inaweka utaratibu wa kuwakutanisha na wake zao"... "Kama mtu anakula anashiba unadhani hicho...
M4C sijui kwa nini mnaziogopa mikoa ya pwani. Tanga kumelala mno, bado wanaimba CCM hoyee... Siye kama mzee mzima wa Mondouli ahamii CDM. Basi sisi tunakuja. Njooni mkomboe, Tanga, Pwani na Mtwara.
Kama umefuatilia kwa makini kufuatilia kikao cha leo cha Bunge utangundua kuwa ama CCM wamejiua (Wameshakufa kisiasa) au hawakujiandaa vya kutosha kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi...
Werema...
Mazishi ya marehemu Yohana mpinga aliyeuawa na vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA yanafanyika hivi punde katika kitongoji cha Kibaya kijiji cha Songambele kata ya Ndago wilaya ya Iramba...
Katika wakati ambapo watu wanasubiri kuchangia maoni yao ya kutunga Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sisi wengine tuanjua ya kwamba hatutapata muda wa kuchangia hasa kulingana na...
Our greatest fear is not that we are inadequate,
but that we are powerful beyond measure.
It is our light, not our darkness, that frightens us.
We ask ourselves, Who am I to be brilliant...
Picha na mipango ya kumfanyizia Dr. Olimboka kumbe ilishapangwa kitambo sana, walipanga kuwa wawauwe raia na kusema majambazi ndio walio mteka katika harakati za kumwokoa naye akawa kapoteza...
Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kuikumbusha Tume ya Kukusanya Maoni kuhusu uandikaji wa Katiba Mpya ya nchi yetu kuwa pamoja na utaratibu waliojiwekea kufuatana na Sheria inayowaongoza, napenda...
TFCG, Misitu Yetu Project: Pande Game Reserve
Misitu Yetu Project: Pande Game Reserve
Participatory Forest Management
Summary
The Tanzania Forest Conservation Group has been working with the...
MBUNGE wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile, amesema kuwa licha ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vitatu Bungeni kwa ajili ya kuwatetea wananchi wa Kigamboni, ataendelea kupambana kuhakikisha...
Hivi karibuni kumeibuka tabia ya kuziba watu midomo kwa kusema "Suala hili lipo mahakamani na haliruhusiwi kuzungumiwa hapa".
Mijadala mbalimbali bungeni hususani inayotolewa na vyama pinzani...
Ndugu wa Tz wenzangu habari za muda huu,Hakika tumeshuhudia udhaifu mkubwa wa Spika wetu sababu ya Uchama badala ya uspika,ni maoni yangu kuwa spika atokane na chama tawala na naibu spika atoke...
Mbunge wa Njombe Deo Fulikunjombe ameshangazwa na jeshi la polisi kutokuwa na vifaa vya kisasa na kulikejeli kwamba jeshi hilo sasa lina virungu tu ambavyo vinatumika kukandamiza Chama cha...