daniel don
Member
- Jun 28, 2012
- 43
- 3
:yawn:Katika ufahamu wangu wa kawaida nilionao sina uhakika kama watanzania wenye uwezo wa kujua na kufafanua katiba yao wanaweza kufika 50% sasa iweje kuwepo kwa mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu uundwaji au marekebisho ya katiba mpya? Nimekuwa nikisikia leo wapo hapa kesho watakuwa pale, binafsi sijajua nini hasa nitachangia..Naomba wadau mnielimishe jinsi ya kuchangia KATIBA MPYA. Zoezi hilo naona linakwenda kwa kasi sana.