Mbunge atetea Wafungwa wenye wake kupata haki ya Kujamiiana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge atetea Wafungwa wenye wake kupata haki ya Kujamiiana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Jul 18, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Viti maalum amelichangamsha bunge kwa kusema kuwa "Wafungwa wenye wake serikali ihakikishe inaweka utaratibu wa kuwakutanisha na wake zao"... "Kama mtu anakula anashiba unadhani hicho chakula kinaenda wapi"? ... Alihoji!
   
 2. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ..ukishafungwa...umefungwa vyote...
   
 3. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha.. Sasa mbona wanakula?
  "We unadhani hicho chakula kinaenda wapi"
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Hii sio kutetea, hii ni lazima, na nai haki ya msingi nakumbuka kuna kipindi wakasema watatekeleza hili, tatizo ni hela za kufanya hivyo kwani inatakiwa kujenga vyumba maalumu kwa ajili ya faragha.
   
 5. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  HAVIJIFUNGI VYOTE (mwili bado unahitaji kama kawaida) na ndiyo chanzo cha kesi za USHOGA na KUSAGANA magerezani=ONGEZEKO LA MAAMBUKIZO YA HIV/AIDS katika magereza yetu. Wacha watu wenye wake/waumme zao waruhusiwe KUPATA walau haki hiyo wawapunguzie tamaa za wafungwa wenzao wa jinsia sawa!!!

  Au mnaona sawa watu wakitoka jela warudi tayari na ujuzi wa UKAMERUNI??? Tafakari.....
   
 6. K

  KANA KA NSUNGU J Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga Mkono Hoja
   
 7. y

  yetabula Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hili ni jambo jema, kumbukumbu zangu zinanikumbusha kuwa HIV act imeruhusu,ila issue ni utekelezaji. Kwani yanahhitajika maandalizi kama vyumba na uelewa wa askari jela
   
 8. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mexico wanao huu utaratibu.
   
 9. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,758
  Likes Received: 6,063
  Trophy Points: 280
  Hii kali. Lengo hasa la kumfunga mtu si kumkomoa bali kumnyima ule uhuru aliokuwa nao ambao alishindwa kuutumia kadiri ya matakwa au mategemeo ya kijamii na kisheria.

  Hata hivyo kuna vitu vya msingi (basic needs) ambavyo kwa vyovyote huwezi kumnyima binadamu vinginevyo hatakuwa binadamu tena. Vitu hivyo, kwa mtiririko wa umuhimu wake, ni kama hivi: CHAKULA, MAVAZI, MAKAZI, na MATIBABU pamoja na HEWA ambayo hutolewa bure na Mwenyezi Mungu mwenyewe.

  Mwanadamu akipata vitu hivyo anaweza kuishi angalau maisha ya kawaida ya kusetiri na kulinda ubinadamu wake. Sasa je, NGONO ni hitaji la msingi la mwanadamu? Yaani, Is SEX really a human basic need? Majibu ya swali hili yatasaidia kujua kama wafungwa waruhusiwe "kukutana" na wake/waume zao au la.
   
 10. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo maana ya kufungwa itakuwa nini sasa? Maana watu wanaogopa kufungwa hasa kwa tishio la kukosa huduma nyeti. Wakiziletewa na huko unadhani kuna mtu ataogopa kufungwa tena?
   
 11. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Si waliooa tu hadi ma wenye ma bf na ma gf wakamuane tu
   
 12. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umuhimu wake, ni kama hivi: CHAKULA, MAVAZI, MAKAZI, na MATIBABU pamoja na HEWA ambayo hutolewa bure na Mwenyezi Mungu mwenyewe.Hivyo ni Compulsory; Narudia tena....mahitaji ya Nafsi, Roho na dhamiri na Moyo, haiwezekani.
  Ukishafungwa...umefungwa vyote.. You're in Bondage.
   
 13. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,758
  Likes Received: 6,063
  Trophy Points: 280

  Mkuu hapo sasa unazidi kupanua wigo. Na wasio na bf na gf sheria iweke utaratibu ama wa kuajiri au kutafuta (may be on weekly basis) watakao toa huduma kwa wafungwa.

  Malipo yakiwa mazuri usishangae akina dada zetu watakavyochangamkia tenda ya kutoa huduma kwa wafungwa.
   
 14. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Na wafungwa wanaowalawiti hawa wanandoa kwa nguvu waasiwe kwanza ili hili zoezi liweze kufanikiwa
   
 15. K

  KANA KA NSUNGU J Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, je huoni kama mfungwa asipo ruhusiwa kukutana na mke wake maana yake una mwadhibu hata mke ambaye hakufanya kosa hilo?Na hatimaye anaweza pata magonjwa nnje ya ndoa?
   
 16. m

  makelemo JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Charles Taylor amepata mtoto wakati akiwa Gerezani
   
Loading...