Dr. Slaa atahojiwa na Redio maarufu ya Demokrasia Jijini Washington DC [WPFW RADIO] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa atahojiwa na Redio maarufu ya Demokrasia Jijini Washington DC [WPFW RADIO]

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baajun, Jul 11, 2012.

 1. b

  baajun JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu mapambano kila kona mambo yanakwenda vizuri sana huku nje.Sasa tumeanza kukandamiza kwenye vyombo vya habari huku nje sasa hivi.Hii redio ni maarufu sana inayozungumzia siasa hapa Washington DC.

  Inasikika karibu nusu ya United state of americaW

  ale walikuwa wananenepa kwa misaada kutoka marekani sasa wakae chonjo.maana hii sio mchezo inaitwa "OPERATION KANDAMIZA".

  Nipo kwenye ofisi zao hapa tuna kamilisha mikakati,maojiana yatakuwa kwa kiingereza ili watu wote Wajue Tanzania ile sio hii ya sasa hivi.Nitawapa ni siku gani itakuwa week hii na saa ngapi.kwa wale wenye simu za kisasa wataweza kusikia vizuri haya maojiano.yatakuwa live.Hatulali mpaka kieleweke.

  Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  tupia linki ya hiyo redio
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu una jambo nyeti sana tatizo ume-represent kwa ushabiki sana
   
 4. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  endelea kutujuza. Ukiweza tupe link ili tufuatilie kwa karibu.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hakika hiyo ni kazi moja nzuri sana!! tuwekee kalink tuweze kupata kitu live kutoka USA wakati wa mahojiano!!
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Radio maarufu mbona mimi siijui au maarufu huko DC?
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Safi sana mkuu tunakutegemea kwa updates.
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
 11. e

  environmental JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
 12. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
 13. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tupate habari kamili
   
 14. b

  baajun JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo mkuu umefanya l maana.Naijua sana hii Redio ni ya Demokrasia hapo washington DC.Ni public Radio.Inaongea kila kitu bila ya uwoga kwa kweli kama ataojiwa hapo basi kazi ipo.kama kuna mtu anabisha a google ataona kuna website yao ndio utaona husiwe tu mbishi.
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ...freedom is coming SOON to Tanzania tena bila ajizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ila sasa hivi si umeshafahamu?
   
 17. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mambo mazuri hayo,tuhabarishe mkuu
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  mtoa kucha, mng'oa meno!
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  The liberation is around the corner. VIVA MY PRESIDENT DR. SLAA
   
 20. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,290
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  kwan lazma uijue wewe2
   
Loading...