Mchakato wa Katiba mpya nchini Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato wa Katiba mpya nchini Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jul 12, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bonyeza Souti DW Redio

  AUDIO | DW.DE

  [h=1][/h] Mchakato wa kukusanya maoni kuelekea katiba mpya unaendelea nchini Tanzania.
  [​IMG]Wananchi wa Tanzania watoa maoni yao kuhusu katiba mpya

  Kumekuwa na malalamiko juu ya namna zoezi hilo linavyoendeshwa na hivyo kusababisha hofu kawamba huenda kile kinachotakiwa kukusanywa kisipatikane ipasavyo. Stumai George amezungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la katiba Tanzania Deus Kibamba na kwanza anaeleza kile kinachoendelea kwa sasa.
  (Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
  Mwandishi: Stumai George
  Mhariri: Mohammed AbdulRahman
   
Loading...