Siku saba zilishaisha mnyika umewasilisha ushahidi??

Status
Not open for further replies.

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
Wana JF zile siku saba alizopewa mheshimiwa John John Mnyika kuwasilisha ushahidi wa kuonyesha kuwa Mwigulu Mchemba alihusika na EPA kule BOT zilishapita, je amewasilisha ushahidi huo? na je utasomwa bungeni au utamalizwa kimya kimya kama ule aliotoa kamanda Lema kuthibitisha Pinda alidanganya bunge? mwenye taarifa kuhusu hilo atuwekee hapa tudadavue!!
 
Mwigulu mwenyewe kaomba mwongozo juu ya hili muda mfupi uliopita. NS Ndugai anasema ushahidi hadi sasa hakuna. Suala hili sasa linapelekwa kwenye kamati ya Bunge ya Maadili.
 
Lisu alijaribu kuokoa jahazi lakini mawimbi ni makali! Mnyika aliingia choo cha kike.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom