Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Izack Mwanahapa, Jun 28, 2012.

 1. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Madactari, Dr. Ulimboka anaendelea vizuri. Inasemekana Madactari wameendelea kupokea vitisho kwa njia ya sms. Mgaya (Katibu TUCTA) amesema wapo kwenye mchakato wa kuliwasilisha jambo hilo kwenye shirika la kazi Duniani (ILO)

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mungu amsaidie apone haraka.
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Atapona tu MUNGU yunasi
   
 4. d

  dkn Senior Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mungu amsaidie apone haraka. Mengineyo haki itatendeka hata ikiwa miaka mbele watajulikana, kina Kombe walifanyiwa mchezo kama huu..tumwombee Mungu apone.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Atapona tu! wameumbuka
   
 6. t

  tupak Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kamanda Isack kwa kutuhabarisha kupitia picha safi sana na asante mungu, majaribu ya mungu ni mengi hata yesu aliuawa wakati alikuja kuwakomboa wanadamu
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Get well soon DOCTOR,Tunakuombea Bwana wa Majeshi atakuponya
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,161
  Likes Received: 10,508
  Trophy Points: 280
  Get well soon mpambanaji wetu.
   
 9. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  asante kamanda kwa kutuhabarisha..endelea kutuhabarisha..!
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Mungu saidia! Yan laan haitamwacha mtu
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu mtakatifu asante kwa kutenda muujiza huu.Asante Mungu mwema.
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Kupona kwa ULIMBOKA ni pigo kubwa kwa serikali ya Kikwete
   
 13. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Get well soon buddy.
   
 14. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Asante Mungu. Pona tuendelee kupambana nao wakandamizaji...
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Du hao jamaa walidhamiria kuua kabisa maana kipigo alichokipata Dr ulimboka kilikua sio cha kitoto....Get well soon mpambanaji.
   
 16. m

  mbezibeach 2 Senior Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sana mkuu...Get well soon Doctor...Allah always protects u.
   
 17. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Eeeh Mungu mponye mtu huyu Haraka....
   
 18. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkono wenye Nguvu wa kueme kwa Yesu uendelee kuganya Miujiza kwake.Atapona kwa Jina la Yesu.
   
 19. A2 P

  A2 P Senior Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu wetu ni mwaminifu hashindwi na jambo lolote
   
 20. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Nimesikia kuwa kesho itabidi afanyiwe operation ya taya, ambalo limeharibiwa vibaya ! Nilichopenda ni kuwa ma Dr. wamechachamaa na wanafanya ulinzi wao wenyewe, na hata askari waliotaka kuingia ndani ya chumba leo wakati Dhaifu anakaribia kwenda wametolewa benzi, huyu wamesema watamlinda wenyewe na hawataki hawa "wajambazi" walete sumu zao wala kumkaribia !

  Safi sana hii na kaza buti wasomi nyie mpaka kieleweke !! Vasko Da Gama safari hii lazima atolewe nishai na wajaza mabakuli !
   
Loading...