CWT kulikoni mbona kimya kuhusu mgomo walimu?

Kayabwe

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
355
51
Tunategemea tamko lenu cwt kama serikali haiongezi mshahara tugome acha mgomo baridi tuliofanya zamani,tunasubiri kwa hamu sana.
 
You mean walimuwa tz ama?wagome na vitumbua na visheti ukwaju, ubuyu watauzia wapi?hawawezi goma hawa goigoi tena serikali ilivyo na hasira kutokana na issue ya docs!hawatathubutu hata siku moja,kumbuka walivyomtosa Mkoba,jk akapata wimbo,mwalimu wa tz ni kiburudisho cha ccm.
 
Macho ya Walimu yako kwenye 10,000 za sensa nani atagoma muda huu? Baada ya sensa mitihani ya Std 7, inafuata ya NECTA F IV na Zonal Form II...Kisha kazi maalum mwezi Novemba hao wagomaji hawataki hizi zote? Labda kama watatoka nje ya nchi
 
Kazi nzito hiyo, zile DIV 4 za kuchechemea, halafu wagome? wakifukuzwa ni nani atawaajiri?
 
viongozi wao ni genge la wahuni tu lknalokula hela na serikali ili kuwahadaa walimu.
 
Macho ya Walimu yako kwenye 10,000 za sensa nani atagoma muda huu? Baada ya sensa mitihani ya Std 7, inafuata ya NECTA F IV na Zonal Form II...Kisha kazi maalum mwezi Novemba hao wagomaji hawataki hizi zote? Labda kama watatoka nje ya nchi

We haya tu!
 
walimu hawawezi kugoma chini ya uongozi dhaifu na dhalimu ambaye ni agent wa serikali bwana Mkoba. Ili kuweza kugoma sharti apatikane kiongozi jasiri kama Ulimboka.
 
from the beginning nilisema hizi na sarakasi za Mkoba na wahuni wenzake wa CWT kujipatia ulaji toka serikalini... Wao wanajilipa posho na mishahara minono toka kwenye 2% ya mishahara yetu wanayotukata kwa lazima, Sasa wakati umefika walimu tudeal na hawa mabazazi wa CWT Kabla ya serikali tudai auditing huru na hawa jamaa wachukuliwe hatua then ndo tuanze na serikali bila hivyo ni mark time tu tunapiga, tusafishe ndani kwanza ndo tuende nje...hawa CWT wamevimbiwa na hela zetu
 
Macho ya Walimu yako kwenye 10,000 za sensa nani atagoma muda huu? Baada ya sensa mitihani ya Std 7, inafuata ya NECTA F IV na Zonal Form II...Kisha kazi maalum mwezi Novemba hao wagomaji hawataki hizi zote? Labda kama watatoka nje ya nchi
Hizo chance zina watu mzee watakaoenda kufanya SENSA ni walewale Kama ilivyo kwenye kusahisha na kusimamia mitihani usipokuwa Mtu wao hupati hizi deal so kwa wengine sio issue... Mkuu wangu alishanipendekeza DEO akanikata, hizi chance wanapewa kwa kujuana..sio ka hawagomi kuhofia hizo kazi coz hata tusipogoma wanapewa walimu walewale, tatizo kuu hapa ni CWT na sio vinginevyo
 
Walimu wametutoa mbali acheni dharau. Nyie mnaodharau mna elimu ya kudesa, vichupi na za kafteria nani hajui. Kuelimika ni kustaarabika wandugu.
 
madame ww mticheri nn?maana mapovu yalivyo kuruka! Namm nakusaidia huyojama dhaifu mwenyewe na ukoo wake wote!

Sio suala la kuwa nani au nani,Mnawahara sana,
ila mtu hata kama ana changia post,achangie kwa adabu na si kwa kashfa wala dharau.

Yeye angefika hapo pasipo juhudi na jitihada za waalimu waliomuinua tangu Msingi?

Me Namuona FAMBA tu.

Mkuu samilakadunda, tena usikute alietoa comment ya Walimu Dhaifu humu jukwaani, anaishi kwa kutegemea 'Urithi wa Bibi'
au ni Gigolo
 
Last edited by a moderator:
Walimu wametutoa mbali acheni dharau. Nyie mnaodharau mna elimu ya kudesa, vichupi na za kafteria nani hajui. Kuelimika ni kustaarabika wandugu.

Mkuu slufay wapashe hao wanaojiita wasomi.
Wangekuwa wasomi wasingechangia kwa kebehi.
Tena Vi-pichu vilivyotoboka.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom