Mgomo wa wabunge wa CCM unaendelea

mangifera

Member
Oct 15, 2011
47
34
Ule mgomo wa wa wabunge wa CCM unaendela licha ya mkwara wa spika kuwa hakuna kutoka buneni bila idhini yake na waziri mkuu. Sasa bajeti zote zinajadiliwa na kambi ya upinzani na amebaki Lukuvi tu kutetea hoja. Kama unabisha, angalia bunge sasa hivi!
 
Kwanini wamegoma? Au nyongeza ya posho haijawekwa wakati tayari mwaka wa fedha umeshaanza?
 
Unamaanisha mbunge wa CCM ambaye amehuzuliz Bunge leo ni Lukuvi?
Are you rerious?
 
Back
Top Bottom