Swali kwa WALIOPIGA KURA TU!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa WALIOPIGA KURA TU!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kula kwa tindo, Jul 12, 2012.

 1. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umesha wahi kujiuliza, ni kwa vipi umenufaika na RASLIMALI ZA ICHI YAKO?
  NB: Mpiga kura ndiye mwenye uchungu na Serikali ambayo ndiye msimamizi wa Raslimali zetu...
   
 2. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama hukupiga kura kuukataa mfumo uliopo,wewe si mhusika..
   
 3. r

  richone Senior Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  bado sijafaidika sanasana zinanitesa tena kwa ari zaid kasi zaidi na nguvu zaidi.
   
Loading...