Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 11 July 2012 Gumzo la Wiki HISTORIA ya madai ya haki katika ujira na mazingira bora ya kazi kwa madaktari nchini hii hapa. Unganisha vipande vya makala hii ili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Walio korogwe watujuze ,ni kweli kimenuka huko?
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Uzembe wa kwanza hatufuati sheria za usalama Uzembe wa pili sheria hazizingatiwi na wanaozisimamia wote wako likizo kwa rushwa na uhujumu. Uzembe wa tatu serikali haitoi adhabu inayostahili kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja ya taarifa ktk gazeti la mwananchi la leo trh 19/07/2012 inaonyesha kuwa aliekuwa katibu mkuu wa wizra ya nishati na madini David Jairo atafikishwa mahakamani. Habari zaidi soma gazeti husika.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hebu angalia wajinga walivyo waliwao? Yule tapeli wa Loliondo kaja na mpya nyingine akidai kuwa amepewa miujiza mingine ya kuwaliza wadanganyika! Je atatoka na ipi mwaka huu? Bonyeza hapa.
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Meli iliyozama na kuuwa mamia ya watanzania wenzetu haikuwa na uwezo wa kusafi baharini bali kwenye mito. sasa imekuwaje sumatra wakatoa leseni ya kusafiri baharini? souce: x-captain wa meli hiyo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Meli ya Mv Skagit iliyokuwa safarini kutoka Dar kuelekea Zanzibar imezama majira ya saa nane mchana hii leo katika maeneo Pungume na Chumbe baada ya kukumbwa na upepo mkali. Meli hiyo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Juzi tu tumeweka hii post tukiwataarifu kwamba kuna tukio litatokea hivi karibuni ili kuipa serikali muda wa kupumua. Tukio ambalo kweli linaamisha fikra za watanzania ni Kuzama kwa meli Zanzibar...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
1.Katibu wake mkuu anakabiliwa na kesi aliyofunguliwa na Rose Kamili. Kwamba anamuwekea pingamizi la ndoa iliyokuwa imetajwa kufanyika july 21 mwaka huu.Pamoja na mambo mengine Kamili anadai...
1 Reactions
79 Replies
6K Views
Bado Watanzania tuna kumbukumbu za MV Bukoba ambapo mamia ya Watanzania walifariki kwa mpigo. Ikiwa hiyo ni ya mbali, mwaka jana Septemba 10 Watanzania zaidi ya 200 walikufa wakijiona. Tarehe 13...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nugu wanajamii nimekuwa nikifatilia sana usikivu wa serikali kwa mambo mengi yanayojitokeza bila kuaona nia ya dhati ya kuyatatua. (1)Ajali za meli zimetokea nyingi lakini hawajali,na hawajaandaa...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wanajamii. Kama waTanzania hususan wale waliotoka Bara (Tanganyika) msingekuwa watu wa kulalamika na kulaumu kwa kila jambo na kusahau kabisa kuwa wazalendo na kushukuru kwa kile kidogo...
2 Reactions
71 Replies
6K Views
Madam Spika "TUNAONA" Am troubled kila Mara ninapomsikia mama wa mjengoni akisimama kwa kuwasema Wabunge, mara kwa mara kwamba Wananchi wanawaona, na wanaona kila kinachoendelea hapa, am not sure...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Awali tuwaombee faraja kwa wahangwa wote wa ajali ya meli, Mwenyezi Mungu awape nguvu kwa kipindi hichi kigumu ndugu na jamaa wote waliofiwa na tunawaombea majeruhi wote wapone mapema. Kwa sie...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Ni wazi sasa watu wengi hawana tena imani na kiongozi huyu wa bunge na kwa maoni yangu ni bora akajiuzulu tu.Kwa hatua aliyofikia atakuwa na wakati mgumu kufanya maamuzi sahihi siku zijazo kuhusu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hayo yalisemwa Jana na mama Hellen raisi aw Liberia JK alilijua ilo na amekaidi kwa kuinyima wizara ya Afya fungu stahiki Sijui alijisikiaje Maana mama aw watu alitaja nchi ambao zimeweza ilo...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Miaka 16 iliyopita Mv. Bukoba ilizika zaidi ya watu 1,000 wakatwambia haitajirudia tena. Na miezi kadhaa imepita Mv. Isle lender Ikazika zaidi ya watu 400 wakatwambia haitajirudia tena Jana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na mahakama kuu Iringa leo hii. kwenye rufaa hiyo namba 13/2010 wakili wa Makalebela alikuwa akidai kuwa hati ya mashtaka haitengenezi kosa la jinai. hii ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Naomba tujadili kama GT. Tuweke tofauti zetu za kiitikadi pamoja na vyama pembeni. Vyombo vya dola hasa mahakama na polisi, wapo kwa ajili au faida ya nani?? Je, ni sisi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…