Watanzania wenzangu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wenzangu...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bishanga, Jul 13, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Sina tabia ya kufungua nyuzi jukwaa la siasa (JLS), anga zangu ni mmu na chi chat.
  Lakini katika hili la hospitali ya muhimbili kwa kuwa naijua vyema naomba niseme haya yafuatayo:
  1.MRI ( magetic resonance imaging):
  Mashine hii muhimbili ipo,gharama za kipimo ni sh 120,000.-
  Ukienda agha khan,regency na hindu mandal unapigwa sh 540,000.- kwa kipimo.
  2.CT scanning:
  Muhimbili tsh 80,000.-
  Ukienda agha khan,regency na hindu mandal unapigwa sh 360,000.-
  3. Kidney dialysis:
  Hiyo ndo usiseme.
  In short,vipimo hivi day in day out ukienda muhimbili unaambiwa vimekufa, nenda agha khan,hindu mandal na regency,same doctors hao hao wa muhimbili wana handle vifaa hivi private hospitals na kutoa majibu kwa gharama kubwa,mnyonge inabidi augulie tu cant afford.
  Kila kukicha technians from Phillips company Uholanzi wanakuja TZ kurekekibisha mashine hizi muhimbili na zinakuwa ok,wakitoka tu zinakufilia mbali, patients wanaendelea wenda private hospitals,doctors wanalalamika vifaa duni.
  Tutafika kweli?????
   
 2. Andy1

  Andy1 Senior Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuwa makini na toa taarifa sahihi ct scan mnh ni lak 1.7 na ni mbovu mda mrefu , mashine moja inahudumia nchi nzima haifanyiwi service itadumu vipi???
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Haya bana
   
 4. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?????????????????
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  Bishanga unashangaa hayo? hivi pasi hata kwenda kote huko jiulize nani ndiye msimamizi wa afya wa watanzania?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Bishanga acha wote waondoke, MUNGU atajua cha kufanya ni bora tuanze na Wazalendo wenye moyo wa kuijenga nchi sio hawa wanaotaka maslahi kwanza.
  Kwanza mm mtu wa kijijini huko Muhimbili sitafika kwani ni 0.03 ya Watanzania milioni 45 ndio wanaofika hapo, kwa hiyo hata hizo mashine wakiziCollapse sisi tutavuna na miti shamba ya mababu tutatumia
  Kwa ufupi hao MaDr waresign labda Nchi itatulia maana hata hayo maandamano ya j3 hayana tija kwani FFU wanajifua nao wanatamani huo mshahara wa 7,7m au nao wagome wanashindwa
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  nini sasa hujaelewa hapo,rudia kusoma thread
   
 8. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  I always wonder,hivi mhando na trupu lake la tanesco wakiamua kugoma na kuzima mitambo mtera itakuwaje? Dawasco nao wakigoma na kuzima mitambo ruvu chini itakuwaje? Na staff wa huduma za anga wakizima mitambo kisa haina quality itakuwaje? Na zima moto waki down tools kisa magari mazee je? For that matter hata wazoa taka darisalama waki down tools je?
  This reminds me story ya Anus iliyogoma kupitisha choo eti inadharauliwa matokeo yake ikawa ni head ache na mwili mzima kuwa dysifunctional.
  Ndugu zangu hakuna taaluma iliyo bora kuliko nyingine,hata Invisible na taaluma yake ya IT ana mchango mkubwa tu katika jamii.
  Nawasilisha,
  Bishanga Abashaija.
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu you are falling short hapa ulitaka ku-suggest nini?. Kwamba madaktari wana-sabotage vifaa vya muhimbili? na kama ni kweli kwa nini wafanye hivyo?. Sija-dismiss point yako ila ninachojua ni kuwa vifaa vingi vya utabibu huwa vina working duration, sasa kama unacho kimoja na kukifanyia overwork na wakati huo huo hakuna matengenezo mpaka mwaka upite kama ulivosema watu wa Phillips ndiyo huwa wanakuja huoni kuwa ni tatizo la serikali?
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wasi wasi wangu ni nini hasa kinasababisha mashine za dialysis,ct scanner na MRI kila kukicha muhimbili zimekufa , opearators kwa maana ya technicians , wasoma majibu kwa maana ya doctors ambao wanasimamia mashine hizi za muhimbili ndo more or less unawakuta hao hao regency,agha khan na hindu mandal wanapiga mzigo?
  Mkuu unataka tutajane kwa majina hapa? Twajuana ati.
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Ccm your tired!
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Waitu washobya,kila kitu si vyema ukakiamulia kwenye prism hiyo,wakati mwingine weka 'siasa' pembeni na tuangalie uhalisia wa maisha yetu ya kila siku.
  Wamiliki wa agha khan,regency na hindu mandal unawafahamu? Do you know nini kinaendelea nchi hii katika industry ya huduma ya afya?
   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,180
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Kwani ma drs wamesema wanataaluma wengine hawafai? Mimi lawama nazielekeza kwa wanasiasa, mfano juzi tu cag kaibua madudu ya upotevu wa hela adhabu ikawa ni kuwaondo wizarani eti, ktk upuuzi kama huu kwanini tusiwe na migao ya maji na umeme?
   
 14. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  bwana bishanga haya ni mapambano yasiyo na tija mnayojaribu kurefusha bila kutafuta ufumbuzi. the government tries to deceive the aggrieved in this saga by using the weaked people like you whome without forcing me i wanted not to call. a doctor is not by law prohibited to own da personal enterprise so as to sustain his subsistence. you have to advise the gvt not to keep beguiling citizens and repudiating the constructive views from citiens and engulfing the views of the weaked like you. obagambile ebintu byatama.
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  hawa madokta saa ingine wanakatisha tamaa ,tunaotumia mahospitali ya serikali yametukuta mengi tu ,maana huwa wanakudharau sana sana ,unaweza ukaingia ndani yeye akatoka ,kurudi kwake ni baada ya masaa.Kama hujampenyezea chochote basi utaondoshwa njiani uwapishe wenye hela ya kumpa.

  Wanaofika mahospitali haya wakiwa wajawazito ndio usiseme ,mtu anazalishwa kwa nguvu na mijineno juu ,saa ingine ukifikiria unaweza kusema bora yawakute,liwalo na liwe.
   
 16. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukwaju!
  Wewe hujui unachozungumza. Your silliness and the **** about Uzalendo ndio umetufikisha hapa tulipo . The doctors are not saying that they are the most important professionals in this world. They low pay and disregard for employers to meet their basic needs is where the problem is . They Ned a fair deal. The failed ccm republic of Tanzania is to blame.
  Some of you talk **** about wito and so forth. Doctors are hoping from one hospital to another .
  Anaanza kazi asubuhi mpaka saa name Mhumbili, from saa Tisa mpaka saa 12 jioni anakuwa Regency halafu anakwenda Massana saa mbili usiku. Do you know why serikali kutokuwalipa mishahara na kuwapa peanuts inawafanya wawe wamachinga.

  Kuhusu Vitendea kazi huwezi kununua CT scan moja tu utarajie kwamba ikafanywa kazi bila service plus hata kuzimwa halafu uwepo for ever.

  The solution ni kuwa na nyingi at least Kila hospitali ya teule iwe nayo moja . The same should apply to all strategic equipments.

  When you dont have national standards or even benchmarks unatarajia ubora upi? The bottom line tuwe na Regulator of medical practice ili mambo Kama Bei yaweze kuwa Regulated.
   
 17. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Muhimbili is the crime scene
   
 18. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mkuu achana nao hao jamaa ambao ni vipimbi vya taaluma.
  Kidigree chenyewe kimoja na hata experience ya miaka 10 kazini hawana.
  Sasa wanaanza kuota moto wa kudharauliwa na waTanzania wenyewe.
  Waachieni waandamane na wakipita mitaa yangu nawarushia rambo la kinyesi cha mgonjwa wangu.
  Just for good measure.
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kibaraka

  Kibaraka JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni nchi ya kitu kidogo, ni nchi ya watu wadogo.
  Kinachotakiwa ni kufanya maamuzi na sio kuishia kulalamika tuu kila siku,.
   
Loading...