Mtwara to have cement plant | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtwara to have cement plant

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jul 16, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mon, Jul 16th, 2012

  Tanzania |


  The CCM Secretary General, Mr Wilson Mukama, on Sunday met and held talks with Africa's richest person and President of Dangote Group, Mr Aliko Dangote, in which they discussed on how to cement political ties between their political parties.


  [​IMG]
  CCM Secretary General Wilson Mukama


  Mr Dangote, who is also a senior member of the Nigerian ruling People's Democratic Party (PDP), was in the country for a brief visit. Through Dangote Industries Limited, the tycoon is looking forward to setting up a cement manufacturing plant in Mtwara region.


  Addressing reporters after a brief meeting held at the CCM sub-offices at Lumumba Street in
  Dar es Salaam, Mr Mukama said they had among other things discussed on how to strengthen ties between CCM and PDP. The two leaders also held talks on improving economies and business relations between the two countries towards strengthening their respective economies.


  "Our party (CCM) has companies which are expected to invest and do business to enable the party stand on its feet. We have discussed on how CCM can improve its investments," Mr Mukama, a long-serving public servant turned politician, said.

  The Nigerian tycoon was ranked 76th on the 2012 Forbes list of richest World's Billionaires. His stake in publicly traded Dangote Cement accounts for the vast majority of his fortune.


  His business interests include food processing, cement manufacturing, and freight. The Dangote Group dominates the sugar market in Nigeria and it is the major sugar supplier to the country's soft drink companies, breweries, and confectioners.

  Mr Dangote is a senior member and supporter of PDP and played a critical role in the election of former Nigeria President Olesegun Obasanjo and later took an active role in a privatization programme in his country.


  At present Mr Dangote in on various government boards and also on the team of economic advisers to Nigeria President Goodluck Jonathan. During the meeting at CCM offices, he was accompanied by Nigerian envoy Dr Ishaya Manyabu, his daughter-cum-adviser, Ms Halima Dangote and the Head of Dangote projects in
  Tanzania, Mr Dilip Musales. Before meeting Mr Mukama, the mogul also met with Prime Minister Mizengo Pinda.   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  We do have more than 3 Cement Industries, we really need extra one from Nigerian Investor?

  Why are we bothered to build houses while we have major problems in seeking Electricity and Drainage Water?

  R we wending him to Mtwara to Invest in GAS and OIL as well? U know Nigerians...
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  CCM ni chama cha wababaishaji sana. Watu analytical waliokuwa wanaweza kuweka malengo ya muda mrefu hawamo ndani ya CCM tena; waliobakia wako tayari kusema lolote mradi linaleta umaarufu kwa chama chao hata kama ni la kipuuzi.
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Sisi tunataka Umeme wa uhakika siyo hiyo miviwanda Yao ya udongo hapa. Hilo likiwanda litaendeshwa na Umeme upi?
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Hivi viwanda vilivyopo kwa sasa vinazalisha kwa uwezo wake wote??Kama ni ndio mbona bei ya cement ipo juu kiasi hicho??
  Acheni ubabaishaji wenu wezi wakubwa sasa mmeanzisha mahusiano na hawa matapeli makubwa ya dunia Nigeria ili mmalizie kilichobakia??
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nitakutukana kinumbani mimi...... nyoooooo!!!!!!

  Mtwara tuna umeme kibaooooo, sasa tunataka viwanda!!!!
  Karibu Dangote, sisi watu wa Mtwara tunataka watu wetu wawe wa kwanza kupewa ajira.....kama 99% ni wageni, hichokiwanda hakitakuwa na maana!!!!!!
   
 7. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nitakutukana kinumbani mimi...... nyoooooo!!!!!!

  Mtwara tuna umeme kibaooooo, sasa tunataka viwanda!!!!
  Karibu Dangote, sisi watu wa Mtwara tunataka watu wetu wawe wa kwanza kupewa ajira.....kama 99% ni wageni, hichokiwanda hakitakuwa na maana!!!!!!

  @PJN at Mtwara Gas City
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwa mikataba hii ya kiccm wafanya kazi wote watatoka Nigeria waanze kuomba kazi na huko kwenye viwanda gas na Umeme mnachezea ccm siyo
   
 9. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Penepo! Nneyopeyo!
  Kusini kunaanza kunoga!wekeza blaza wekeza,na sisi tupige hatua kubwa kimaendeleo.mtwara na lindi ya leo sio ile ya hata miaka mitano iliyopita, kuna maendeleo kwa kasi kubwa!

  Baaa, huku gesi, pale mafuta, hapo cement!uchumi uko kusini bwana kwa sasa na hakuna ubishi! madini ndio usiseme.na wale wanaodhani kusini hakuna umeme, kwa taarifa tu ni kwamba siku hizi umeme kibao!

  Na siku hizi tumesoma, tunasonga mbele!
   
 10. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sina tatizo na uwekezaji huo, tunahitaji viwanda vingi tu vya saruji, shida ni mafungamano na vyama vya kisiasa. Ni mwekezaji au ni mwanasiasa?
   
 11. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Kiwanda kitaendeshwa na umeme wa gesi kutoka huko huko Mtwara.
   
 12. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  kwani hujui mtwara wana umeme wa uhakika ndo maana ameenda huko, au unadhani ameenda kwa ajili ya kuifurahisha ccm
   
 13. Shark's Style

  Shark's Style JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kuna mdada hapa alitoa tathmini nzuri kuhusu uwezekano wa cement inayozalishwa Tanzania kuuzwa chini ya bei ambayo dr slaa aliwahi kuisema kipindi cha kampeni, alilinganisha bei na uzalishaji kati ya tanzania na india hyo post naitafuta sana kama kunamtu anaweza kuni pm link yake itakuwa vizur na nitashukuru. Samahani grammar mbaya natumia simu.
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Nakubaliana na wewe kabisa. Huyu Dangote kuwekeza nchini sio tatizo, shida ni pale chama cha siasa kinapokuwa mshirika kwenye biashara na mtu kama huyu.

  Kama tunaitakia mema hii nchi, kuna ulazima kabisa wa kuwa na sheria/sera itakayoongoza vyama vya siasa vinavyotaka kufanya biashara. Lazima kuwa na miongozo, miiko juu ya nini chama cha siasa kinaweza kufanya na ni njia gani. Tunakoelekea tutajikuta nchi haina sauti kabisa.

  Sasa hivi takriban 90% ya maeneo makuu ya kiuchumi yamekaliwa na wageni na wanapata maslahi makubwa zaidi. Kama CCM walidhani EPA imeleta tabu ndani na nje ya chama basi wasubiri Dangote.
   
 15. r

  ray jay JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Kweli nimeamini ukiwa mpinzani basi kazi yako ni kupinga hadi maendeleo...go mtwara gooo...
   
 16. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 911
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  eja! penepo inonyele yoyo! mambo mzuri.
   
Loading...