UN has rejected Doctor's (MAT) Request | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UN has rejected Doctor's (MAT) Request

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jul 11, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WanaJF nimepata habari muda si murefu kutoka chanzo changu cha kuaminika
  kuwa UN Dar es salaama wamareject MAT's request

  Chanzo kinasema UN hawawezi kuingilia mamlaka ya nchi kama nchi yenyewe inaweza kuyamaliza
  maana hawawezi kuingilia uhuru wa sheria ndo maana baada ya MAT kuandika barua UN the next
  day Mwenyekiti wa MAT alikuwa arrested na kupelekwa mahakamani

  Kifungu kinacho wabana madoctor hiki hapa chini maana wamegoma then wanataka UN help


  The Protection of Human Rights and the Principle of​
  Non-intervention in Internal Affairs of States

  (b) Article 2.7 of the UN Charter​
  Article 2.7 of the Charter of the United Nations provides that – "Nothing contained in thepresent Charter shall authorize the United Nations to intervene in matters which areessentially within the domestic jurisdiction of any state or shall require the Members tosubmit such matters to settlement under the present Charter; but this principle shall notprejudice the application of enforcement measures under Chapter VII." Practice underArticle 2.7 has developed over time, and its practical importance is by now significantlyreduced.

  Vienna Convention on Diplomatic Relations, Article 41

  It seems to be still well-established the diplomats should not interfere in the internalaffairs of the State to which they are accredited. But even here, as the leading work onthe subject points out, there is a "tension between the duty of a diplomat under Article 41of the Vienna Convention, not to interfere in the internal affairs of the receiving State andthe opinion of liberal States that human rights are a matter of legitimate international
  concern whose active promotion is a major part of their foreign policy
  [FONT=Arial][SIZE=3]
  [LEFT] Among other activities which, depending on the circumstances, contravene the principleof non-intervention are:
  (a) [U]Interference in political activities [/U](such as through financial or other support forparticular political parties or candidates, or even perhaps comment on upcomingelections or on the candidates;
  (c) Seeking to overthrow the government - so-called ‘regime change', especially in thecase of ‘rogue States' It has occasionally been suggested thatintervention in order to restore (or establish) democracy is permitted under internationallaw [/LEFT]
  [/SIZE][/FONT]
  [FONT=Arial][SIZE=3]
  [/SIZE][/FONT]   
 2. commited

  commited JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mmmh kazi kweli kweli.... Ngoja wajuzi wa sheria waje watusaidie taarifa zaidi
   
 3. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kiburi si maungwana!
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Tanzania hatunaga pre-emptive measures, hata kama UN wangekubali hao ma daktari wanadhani kweli kuwa kuna Doctor mwengine kapangwa kuvamiwa zaidi ya Ulimboka? Au kwamba Ulimboka yupo katika hali ya hatari (zaidi ya afya yake)? Ukisoma barua yao ya kuwakilisha haina ushawishi stahili, zaidi inakuwa kama imetoa briefing ya tukio zima lililomtokea Dr. Ulimboka as opposed to concrete facts and reasons as to why they should be provided hio protection. Uli tayari yupo under proper suverillience and even a kid knows hao walo mdhuru would not dare touch him sasa hivi or kitanuka. They may be intelligently crude but not stupid.. Nayo hio ni applicable tukichukua na kui qualify kuwa Serkali ndio imehusika..
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  madoctor imekula kwao! serikali inamkono mrefu jamani! na najua tunalijua ilo<sema tunabishana tu humu ndani kwa hulka zetu za kisiasa! ila ngoja tuone
   
 6. H

  Hute JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,916
  Trophy Points: 280
  MADOCTOR wa tz wapasua kichwa badala ya mguu ni wapuuzi hawana maana, vishoka wakubwa afu wanaringa, wangekuwa wanaelewa sasa wangefanya nini si wangetusumbua sana, hapo tu mambumbumbu bado wanatuumiza vichwa,....kama wao ni madoctor kweli mbona ulimboka wanampelekwa kwa madoctor wenzao waliosoma shule ikasomaka huko india na souz africa? wao wameshindwa? vishoka hawana maana, yaani nikiwaona nao ati wanaringia profession yao huwa nacheka sana walevi hawa. kwanza wamezidi kutuibia madawa yetu kupeleka kwenye pharmacy zao.
   
 7. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  ongeeni sana,bt, u dont knw wht is behind the scene!more over,wht is going on! Twende kazi.....itafahamika 2
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  This was expected. Lakini serikali iwe makini sana sana maana kilichofanyika ni sawa na 'booking'. UN kusema hawawezi kutoa ulinzi does not mean kwamba all is well. Na mpaka watoe uamuzi ina maana wame-discuss hali ya Tanzania which means tayari wameshajua mambo si shwari. Kwa upande mwingine Tanzania inaanza kupoteza moral authority kuongelea mambo ya amani mbele ya internation community. It is just sad!
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Aisee umejitahidi!
   
 10. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Madaktari vijana msiwe na kiburi waombeni radhi watanzania ili mrudi kazini.
  Katika suala hili you lose, both public and national sympathy.
  Hamuhitajiki sana kama mnavyofikiri na wanaowaunga mkono ni olitical opputunists.
  At any rate damage mliyofanya mtalipa tu, kwa vyovyote vile, lakini kwa manufaa yenu ombeni radhi kwa Rais wa Jamhuri.
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Nilitarajia kusikia hilo kutoka kwa Umoja wa Mataifa na nilishangaa sana MAT kutuma barua UN kwa kesi ya "mtu mmoja." Angalieni tangu mzozo wa Siria umeanza ni watu elfu ngapi wameahuliwa na UN imefanya nini. Mnaweza kujiuliza kwa nini "UN" iliingilia kati mizozo ya Kuwait, Irak na Libya na kwa nini haiingilii mzozo wa Siria.
   
 12. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,167
  Likes Received: 3,372
  Trophy Points: 280
  Safi sana, kweli JF ni darasa tosha. Pongezi kwa alieleta hii thread.
   
 13. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Tukianza kuzalisha mafuta watakuja wenyewe.
   
 14. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Kapumue huko.
   
 15. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  hapo ndipo unapoonyesha UPIMBI WAKO na UJUHA WAKO ULIOKUBUHU..angalia ranking ya vyuo vya kitabibu vya tanzania Katika DUNIA ndio ujue hongo kunawasomi msiowatumia...pili kupelekwa nje kwa Dkt Ulimboka ni kutokana na kukosekana kwa vifaa(moja ya madai)..tatu Udaktari na Ufamasia si kitu kimoja ingawa zinauhusiano wa karibu..nne makosa ya operation zilizotokea muh2 hayakufanywa na madaktari bali Idara ya uchapaji( kuchapisha majina mawili yote yenye kufanana mfano Hamis Juma badala ya majina matatu) na si kazi ya daktari kuhakikisha ni kazi ya muuguzi..kalale ****, jipange upya ndio uje hapa..
   
 16. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Barua iliyoenda UN uliiona hakukuwa na blah blah.
  Ungekuwa na hoja iwapo ungeleta ushahidi badala ya maoni yako binafsi.

  ''Mtashindanaaa lakini hamtashinda''!!!
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kwa kuwa suala hili lipo mahakamani,haki itatendeka
   
 18. b

  bainamugisha Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We ni mjinga na huna akil sikushangai, unafikiri wewe una akil gani kumzidi daktari yoyote,,Ndo walewale uwezo mdogo kuongoza mkubwa??? Ujawaona waliokukwapulia mabilioni unadai dawa kweli wewe kichwa cha kuku akibebi mzigooo....bebaa boksi za dawa utinze kwako
   
 19. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dar es Salaam. The United Nations office in Dar es Salaam yesterday acknowledged receipt of a letter from the Medical Association of Tanzania (MAT) seeking protection of Dr Stephen Ulimboka who is receiving treatment in South Africa.

  The UN communications analyst, Ms Hoyce Temu, said yesterday that the resident coordinator of the global body, Dr Alberic Kacou, received the letter on Monday evening and immediately started consulting other partners on how to address issues raised by the document.

  "The resident coordinator will be meeting with representatives of UN agencies for consultations and drawing more expertise on how to address issues raised in the letter," Ms Temu said.
  She said there were also many actors mentioned in the letter, including the doctors themselves through MAT, the government, and civil society organisations.

  As a result, she noted, attending to the doctors' requests would need more time so as to get the issues right from all sides prior to intervention and mediation.

  "UN is a transparent organ and believes in peace and stability of its member states, including Tanzania," she noted.
  On Monday, MAT appealed to the United Nations and the international community to ensure the security of Dr Ulimboka in South Africa, where he is receiving treatment.
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kasha kula ban kwa ujinga wake
   
Loading...