Vyama vya siasa kuwa na vikundi vyenye mtazamo wa kijeshi ni sahihi? mf:Green guerd.nk

rwamashugi

Member
Dec 5, 2011
48
2
Kumekuwa na Vikundi vyenye mtazamo wa Kijeshi ndani ya vyama vya siasa hapa nchini.Mfano mzuri ni Green Guard,Janja Weed, nk. Mimi sina matatizo na Umoja wa vijana, isipokuwa vikundi hivi ambavyo vinamtazamo wa kijeshi. Je kila chama kikiwa na jeshi lake, matokeo yake ni nini? Vita itaepukika?
Wana janvi mnasema je?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom