CHADEMA - Mbeya: Mwendo mdundo!

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia

jumla kulikuwa na chaguzi 7 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 6 na CCM moja (1) tu

mojawapo ni

  • ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
  • ILOLO - CCM
  • MWANJELWA MTAA WA BANK - CHADEMA
  • MWANSEKWA- CHADEMA
  • SINDE - CHADEM
  • MWANSANGA - CHADEMA
  • KAGERA - CHADEMA (mjumbe wa serikali ya mtaa)

furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "
 
Mkuu don't tell me! Waaaaaaaaaaaau!

Nisalimieni Shitambala.
 
Ni habari nzuri kuelekea kwenye Ukombozi, Nnauye Jr akisikia lazima ajiharishie na Mr Vasco Da Gama pori a.k.a The Explorer lazima apatwe na Oilcom kwa muda sio BP tena
 
Kama tunataka ku asilimiaiz inakuwa 80%
ccm yapigwa doro!!!!!!!
 
Kanyaga twende,harakati zizidi kujikita vijijini maana huko ndo kwenye wapiga kura wengi.Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CHADEMA.
 
Chama cha msimu tu hicho Chadema, ni upepo tu, Magamba sijui wataendelea kukiita chama cha msimu? Kama ni cha msimu basi Mavuno yanakuja 2015
 
Haya mambo ya kuanda uchaguzi bila kumuita Nape siyo mazuri bhana.
 
Mkuu don't tell me! Waaaaaaaaaaaau!

Nisalimieni Shitambala.

wananchi wamechukizwa kufananishwa na oil chafu, adhabu kuendelea ni sawa na uji na mgonjwa!!!!!! Wana mbeya hongereni sana!!!
 
hizo mbili imekuwaje?
mkuu hata mimi nashangaa mfano hii ya Ilolo ipo mjini kabisa sijui walikula nini ? na hii kata ilikuwa chini m/kiti wa ccm ambaye alifukuzwa baada ya kuchomewa nyumba na wananchi kwa tuhuma za uchawi
 
it's exiting kuona jinsi ukombozi unavyokuja. gradually totafika wanabody,let's walk together towards boom victory 2015. Mungu atubariki na atuongoze!
 
Ni upepo wa kisiasa jamaa dua yao kubwa ni uongoz wa juu cdm uparanganyike maadam MUNGU akiwa upande israel na aseme! Hekima ni kitu muhimu dr wa phd utulivu wako ndio utakuwa salama yetu vijana tulio nyuma ya cdm
 
Mbeya hatutaki mzaa. Tena Chadema mpaka misibani ni lazima usikie rambi rambi za CDM.
 
hivi sasa kuna shagwe kubwa sana magari yanapita mitaa ya Soweto na nyimbo za ukombozi

"CHADEMA CHADEMAAAA PEOPLE'S POWER x2 .....
...
 
Back
Top Bottom