Polisi wazuia mkutano wa mbunge wa Kigamboni Faustine (wananchi wamechachamaa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wazuia mkutano wa mbunge wa Kigamboni Faustine (wananchi wamechachamaa)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Jul 15, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  polisi wamezuia mkutano wa mbunge na wananchi wa kigamboni ambao alitaka kutoa ufafanuzi wa mradi wa mji mpya.ulikuwa ufanyike leo hapa machava.inshort wananchi wanachoshwa na ubabe wa serikali,pembeni kuna polisi hapa.kinara wa kuzuia mkutano ni madiwani waliopelekwa kunyeshwa chai bungeni na mama wa Tiba.kigamboni hatutaki mradi wenu
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180


  Hapo kwenye RED, leo ndo wajue serikali ina ubabe kiasi gani bila kujali wananchi
  RUSHWA ni sehemu ya uendeshaji wa shughuli za serikali, madiwani kupewa chai. Kama Ndungulile atafunguka akili agundue kwamba kuwa mbunge wa CCM ni kuitetea serikali hata ikifanya madudu na sio kuwawakilisha wananchi waliokuchagua....sinema ndo imeanza.
   
 3. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Binafsi nilishangazwa na serikali kupima viwanja na kuviuza kinyemela ili hali waathirika na mradi wa mji mpya hawajapewa kipaumbele. Maendeleo mi mazuri lakini si ya ukandamizaji kama huu!
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huu mradi aw mji mpya Kigamboni unaonekana una maslahi kwa wanasiasa ee?
   
 5. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wana kigamboni, msipoonyesha hisia zenu mtakua mnamwangusha mbunge wenu ambaye amekubali kuacha posho for some days kwaajili yenu. Tafuteni namna muwaambie polisi kwa namna yoyote mhimu muwe na chupa za maji ili watakapo fanya mambo yao muwe na uwezo
  wa kukikmbia mkiona mbele kirahisi
   
 6. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  chama kilichowakomboa sasa ndo chama kinachowadalalia mnunuaji wenu,kishawachoka....! Mtamkumbuka sana Dr.Silaa 2010
   
 7. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ndungulile, mwenzio Kova kwasasa ana hasira ya kustukiwa movie yake ya Mkenya wa Dr. Ulimboka kwamba imetengenezewa mtaani. Angalia asije akakumalizia wewe hasira ukaondoka Magamba kwa hasira.
   
 8. Rogate

  Rogate JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila Kuwa wakali na kudai haki kwa nguvu bila kujali maumivu hatuta sogea. Tukumbuke anayechukua haki yako anfurahia kuitumia na hayupo tayar kupoteza. Tukitaka tunaweza its all the mater of time. If you cant do it now someone else will do it tomorrow.
   
 9. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndungulile my young brother, jiuzulu ubunge wa magamba, kama utaendelea.,.. nadhani unawajua, fanya maamuzi magumu, watu wamefika hapa harafu hakuna chochote..., kama wewe ni mzalendo tafakari.
   
 10. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Dead bodies talking,watanzania ni maiti tu,keep on talking while others moving forward.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tena hii Serikali inawachekelea. Maamuzi yakitoka unaambiwa haya ingia ubia au chukuwa mkwanja. Unaamuwa moja.

  Hii nenda rudi mpaka lini? Dunia nzima ndivyo wanavyofanya hakuna mwananchi anaesitisha maendeleo kama yana faida kwake.

  Nakumbuka ilipokuwa inapitishwa barabara Ilala walilalamika sana walipoona wenza wanalamba millioni 50 (siku hizo nyumba ya ghali sana Ilala ni millioni 20) wote wakawahi kuchukuwa mkwanja wakanunuwa nyumba mbilimbili wengine tatu tatu maeneo mengine.

  Hivyo ndivyo inavyotakiwa, kuna mradi basi mradi umlipe mwananchi sio kwa thamani iliyopo tu bali kwa faida mara mbili, nani ataepiga kelele?
   
 12. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Very pity. Mafisadi hawana itikadi ila wana kichaka kinaitwa CCM. Poleni sana wana Kigamboni, ninyi na mbunge wenu hamkustahili kutawaliwa na hawa wahuni.

  Dhuluma na uonevu mnaofanyiwa hapo Kigamboni umekuwa ukitekelezwa kwa ndugu zenu wa Mara, Shinyanga, Mwanza, Mbeya, Arusha na kwingineko nchini kwa miongo kadhaa sasa. Hivyo msife moyo wala kuogopa matisho na uababe wao.....ndio silaha pekee waliyobakiwa nayo pamoja na uongo.

  RESIST!
   
 13. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Zomba hapo siamini ni wewe, somehow umechakachua!Lol
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Baada ya kufuzwa bungeni alitoa tangazo la kukutana na wapiga kura kueleza msimamo wake kuhusu mradi wa kigamboni, madiwani wa kata za vijibweni, tungi, kibada na kigamboni kuhongwa na mama tibaijuka pamoja baadhi ya wenyeviti wa serikali za mitaa.

  Saa 9 mchana huu uwanja wa machava kigamboni uligeuka uwanja wa mjadala baada ya tents na viti kuanza kuondolewa kwa maelezo kwamba rpc amepiga marufuku mkutano kuwa kuna taarifa hautakuwa wa amani. Magari ya ffu yameonekana upande wa kigamboni na mengine upande wa mjini mlango wa kwenda kigamboni. Wananchi wanasema polisi wamemzuia mbunge kuvuka akitokea dodoma hadi usiku.

  Wananchi wamegawanyika wakimsifu mbunge na kutishia kuwadhuru madiwani kama wataendelea kuishi kigamboni kuwa wamewasaliti kwa kwenda dodoma bila taarifa kwa wananchi waliokwenda kuwawakilisha. Nyota dr fautine ndugulile imepanda kutokana na kuzuiwa kufanya mkutano huku wananchi wakiapa kuwa naye bega kwa bega na kuwatenga madiwani na wenyeviti waliowatoroka wananchi kwenda na waziri dodoma.

  ndio hali ya kuvunjika kwa mkutano kigamboni. wapo radio walikuwepo na wamehoji wananchi wenye hasira kesho kitarushwa. nilikuwepo uwanja wa machava
   
 15. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Duu kama vipi ajivue Gamba huyo
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Suala mradi wa kigamboni limewagawanya mbunge akiwa na wananchi na madiwani na waziri wote wangerudi kupata muafaka kwa wananchi badala ya madiwani kumshitaki bungeni. Kama madiwani wana hoja kwa nini wanakwepa kumshitaki mbunge kwa wananchi?
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  wananchi wanasema mbunge alipokuwa anakwenda bungeni aliitisha mikutano ya hadhara kata kwa kata kuwauliza wanakigamboni mambo ya kuwasemea bungeni lakini madiwani 4 na baadhi ya wenyeviti wa serikali za mitaa wakaondoka kwenye kata zao kwa kuwatoroka wananchi. kulikoni?
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hivi ma rpc nao ni wana siasa?
   
 19. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Huyu Ndugulile nadhani makamanda wameshamwambia kuwa bila hilo jimbo kuhamia kwa M4C, hiyo dhuluma kwa wananchi haiwezi kuisha. sasa anajaribu kulianzisha ili magamba wachemke na wamfukuze then twende kwenye uchaguzi mapema na agombee kupitia M4C.

  Ngoja tuone hii movie inaishaje
   
 20. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Huwezi kuteuliwa kuwa rpc, dc, rc, igp, kama wewe si kada wa ccmabwepande. Soma hotuba ya Tundu Lissu aliyotoa juzi bungeni utajua wapi hii nchi imekwamia.
   
Loading...