Demokrasia italivusha taifa hili kuelekea nchii ya ahadi??

Fringe

Senior Member
Jul 5, 2011
178
90
sasa ni miaka hamsini,toka tupate uhuru wa bendera,nchi yetu bado ni omba omba kwa wakoloni wale wale tulio wafukuza na kutangaza ushindi kwao.

Ni miaka hamisi tukishuhudia deni kubwa la taifa kuwahi kutokea ambapo takwimu zinaonyesha approximately kila mTZ mtoto kwa mkubwa ana deni la laki 4.

Ni miaka hamisi leo,huku millenium development goals report-MDG ikionesha 38% ya watoto wa Tanzania under five ni stunted kutokana na chronic infections na malnutrion (wamedumaa) ambapo ni reflections ya intelligence ya watoto wetu katika ujenzi wa taifa (stunted growth reflect physical n intelligence growth of a child, ). further more watoto hawa karibia nusu wa tanzania hawatakua na miili na kimo kinachostahili kama ambavyo wangepata lishe bora, hivyo hawatakua competive physically kwenye manual work na michezo,as well intelligent yao ipo questionable.ukizingatia shule za kata walizo jengewa huko huko vijijini kwao.

Nimiaka 50 ambapo madini yetu hayajanufaisha taifa kwa kiwango nchi zenye madini kama sisi wanavyo jikwamua kiuchumi,zaidi ya kuwa kero katika sehemu ambapo madini yana chimbwa ie manyanyaso,dhuluma na uporwaji wa ardhi hufanyika maaeneo haya..mengine mnaya jua

kwa upande mwingine siasa za majibishano,majungu fitina na kila aina ya ghiriba vimetamalaki,kuanzia bungeni dodoma mpaka vijiweni.
majadiliano na mijadala hii isioisha kila kona ya nchi kuhusu hali ya nchii haijazaa matunda na wala haitazaa matunda ktk kuelekea ktka taifa lenye uchumi uimara.

upande mwingine watawala kakijineewesha kwa mishahara na posho kubwa kubwa kupitia rasilimali zetu wote na kodi za walalahoi,lakini pia wakiendelea kuiiba na ufisadi kushika kasi kila ofisi ya umma,huku wakitunga sheria zenye mlolongo mreeefu na mizengwe kibao,hivyo kushindwa kuadhibiwa na mahakama zetu

lakini hata mafisadi haya yakifika mahakamani,uwezo wao kipesa una nafasi kubwa wa either kuhonga mahakama nzima,kuhonga waleta ushahidi/mawakili wa serikali au ku hire best advocates kuya tetea mahakamani...what do you expect????


MY TAKE;
Demokrasia haitoi majibu sahihi kwa mustakabali wa kimaendeleo ya nchii,malumbano ya kudumu toka uchaguzi mmoja mpaka mwingine,zaidi ya kupoteza pesa nyingi ktk chaguzi zetu ambapo labda zingepewa kipaumbele kingine ktk kujikwamua Kiuchumi. do we need to spend billions of many for non sense??

Democracy brings chaos and endless dialogue to the citizen,in which only the best rhetorician wins the election by majority vote,and most of time majority vote is all about Quantitative choice rather than Qualitative one.

to my understanding democracy offers the so-called freedom of expression,which lead to discussions of gays right, women rights,diaspora issues,adoption of child etc all this capitalize how free we are but it doesn't answer the call for economical growth.

its the time to change this non sense democracy and adopt other system to run the country...
how long are we going to wait??? will coup d'etat take as there? yes indeed.
 
Back
Top Bottom