JK teuwa tume huru kwa Utekaji Dr Ulimboka kama mauaji ya wafanyabiashara wa madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK teuwa tume huru kwa Utekaji Dr Ulimboka kama mauaji ya wafanyabiashara wa madini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eumb, Jul 16, 2012.

 1. eumb

  eumb Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka wakati ule kulipotokea mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa Mahenge na Dereva taxi, JK aliibuka na kuunda tume huru akitoa maelezo kuwa kunasitofahamu nyingi kuhusu mauaji yale. Sasa safari hii utekaji na utesaji wa Dr Ulimboka pia umegubikwa na hali kama ile, JK katika hotuba yake alisisitiza kuwa Serikali haihusiki na suala hilo. Sasa baada ya sarakasi za Kova tunaomba JK ajitokeze na kuunda tume!!
   
 2. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hana haja ya kuteua Tume huru. Kwanini ateue tume wakati wauaji anawajua!
   
Loading...