CHADEMA waweweseka na mkutano wa CCM JANGWANI, na sasa Rukwa na Katavi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA waweweseka na mkutano wa CCM JANGWANI, na sasa Rukwa na Katavi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kageuka, Jul 15, 2012.

 1. K

  Kageuka JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni kichaa tu atapinga kuwa ulifunika mbovu.
  Sasa mapigo hayo yamehamia Sumbawanga, ambapo jana kwa hakika CCM imefanya kile kilichokosekana kwa muda mrefu sana. Kimetatua kero papo kwa papo ambazo kwa kweli zilikuwa zinakera sana Rukwa. Na mtaani kila mtu anakiri sasa kuwa CCM kwa mwendo huu vyama vya upinzwni vilie tu, wako mbali sana CCM.
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  Nappe ni kero gani mlizotatua papo kwa papo.? Mlijenga barabara na kuleta maji papo kwa papo.? Na mfumko wa bei ulishuka papo kwa papo.?
   
 3. H

  Honey K JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Heeeeeeeee! Dogo inataka moyo kama wa kichaa hivi kuwatetea Chadema leo! Hakika kifo cha CDM hakikwepeki! KIFO CHA CHADEMA KWASASA HAKIKWEPEKI KAMA ISIVYWEZEKANA KUZUIA JU LISICHWE!
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Wewe Badala ya kuzungumzia Pesa za USWISI; Ardhi zilizochukuliwa na Wafadhili; Madini wanapewa bure Wazungu

  wewe unajali na CHADEMA... Amka... Uliza nani kaficha Mali nje???
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Naona hii ni thread ya pili umeanzisha lakini zote hazina mshiko naona bado unafanya propaganda zile za kizamani za wakina mukama na Nape
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  ..............kama mimi na wewe.
   
 7. N

  Nipe tano Senior Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuelezeni kwanza NANI ALITAKA KUMUUA DR. SLAA NA KWANINI SLAA HATAKI KUTOA USHAHIDI KAMA TUHUMA HIZI NI ZA KWELI.? SLAA HAJAWA RAIS ANAIBA WAKE ZA WATU HIVI AKIWA JE SI ATATIA BARABARANI? NA KISUKARI KILE LAZIMA ANAKUNYWA VIAGRA HAKA KAZEE
   
 8. N

  Nipe tano Senior Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usituchanganyie madawa hapa! NANI KAKUZUIA KUANZISHA YAKO ILI KAMA INA MASHIKO WAJE KUJADILI HUO WIZI?
   
 9. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kati ya ccm na chadema nani anaye weweseka. mbona wanaiga kila wanachokifany cdm nanyie wafisadi njooni na opereshi yenu. hivi ya kuvua gamba iliishia wapi vie. it was like a move.
   
 10. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  Nani dogo.? kuwa na heshima naweza kuwa babaako mdogo......hata ubadilishe IDS wewe gamba tu a.k.a vuvuzela....vipi nasikia mzee wa smg alizomewa vibaya sana ikabidi aanze kuongelea maswala ya megawati.!!
   
 11. N

  Nipe tano Senior Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona habari nilizonazo yeye huyu ndo babaako mzazi? Au mamaako hajakwambia?
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,818
  Likes Received: 83,217
  Trophy Points: 280
  Pandikizi lingine la magamba...wanaibuka kila siku utadhani uyoga.

  Join Date : 22nd June 2012
  Posts : 11
  Rep Power : 306
  Likes Received0
  Likes Given0
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  sasa mambo ya viagra yana toka wapi, au alisha kuhemea kwenye kishogo ukajua ana kisukari..
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Duh! Nilimiss sana mambo mengi hapa JF...
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Heee...kumbe hawa ndio great thinkers wa siku hizi...
   
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  jibu hoja mtoto wa kike usinitafutie ban.!
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nyie ndiyo mnatuchanganyia madawa watanzania kuteka ateke msangi kisha apeleleze msangi kisha anakuja na movi kihind
   
 18. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mbona hayo mahojiano ya siku zilizopita Kama kupigwa kwa wakina highness kiwia huko mwanza majibu hayajatoka mauwaji ya Arumeru na Igunga mnalimbikiza mahojiano bila majibu yake dhaifu nyinyi
   
 19. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  SLAA ni kidume cha MBEGU, hata kama Mamako anauwezo wa kupakaa carolite mpeleke atamchukua tu na kumtimizia mahitaji yake ya kimwili.
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kama utesaji wa serikali huko mabwepande?
   
Loading...