Uchaguzi wa Naibu Meya kufanyika kesho Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Naibu Meya kufanyika kesho Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Jul 16, 2012.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Taarifa za uhakika kutoka Manispaa ya Arusha zinasema kuwa uchaguzi wa Naibu Meya utafanyika kesho,
  Uchaguzi huu ulikuwa ufanyike wiki iliyopita kabla madiwani wa CHADEMA kukataa kwa madai kuwa wamepewa short notice kinyume cha taratibu.
  Manispaa ya Arusha haina naibu meya tangu mwaka juzi,baada ya kili kinachoitwa na CHADEMA kuwa uchaguzi wa meya haukuwahi kufanyika
   
 2. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,310
  Trophy Points: 280
  Sasa uchaguzi unafanyika kabla ya ule wa madiwani,na madiwani ndio wapiga kura?cdm hawana madiwani 5 ccm haina wawili,duh!!naona kama tumetaimiwa flani hivi, uchaguzi huo ni kwa mujibu wa sheria au??
   
 3. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumekucha,kwa jinsi siasa za bongo zilivyo!kesho video..
   
 4. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kibusara kuna kata zaidi ya sita ziko wazi, yaani CCM 2 na Chadema 4, kiti maalum + mbunge=6, kisheria uchaguzi wa kuziba nafasi kama hizo hufanyika mwezi wa 1...hii ni vita inatafutwa tena.
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama idadi itaruhusu. Nadhani watu wa sheria watatusaidia! Madiwani 6 wakuchaguliwa hawapo, diwani mmoja wa kuteuliwa, na mbunge wakuchaguliwa. Hii ni kasoro ya madiwani nane! Labda [mention]Nanyaro Ephata[/mention] atakuja kutufafanulia zaidi!
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hapa meya wa kichina Lymo anataka tuanze kumletea noma hapa mjini.MADIWANI 7 WATAFANYA UCHAGUZI?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mshindi atatangazwa kwa kura za ndiyooooooooooo!!!!!!!!
  CCM majambazi kweli!
   
 8. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  uchaguzi huo umeahirishwa,na nimepokea barua ya kuahirishwa kikao hicho kwa kile kilichodaiwa Sababu zisizozuilika.Kabla ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo tulikuwa CHADEMA tumeandika barua kwa Mkurugenzi wa jiji tukipinga kufanyika kwa uchaguzi huo na kwamba tusingeshiriki kwa kuwa unakiuka Sheria na Kanuni za kudumu za Halimshauri 6 1,2 (a) (b) (d),kimsingi mkutano wenye mamlaka kisheria wa kumchagua naibu meya ni mkutano wa Mwaka ambao hufanyika kila January,hivyo kikao cha kesho ambacho ni Julay hakina mamlaka ya ksheria ya kumchagua Naibu Meya.Pili tunataka uchaguzi wa Meya kabla ya ucnaguzi waNaibu meya,kwa kuwa Arusha haikuwahi kufanyhai Meya
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Asante kwa ufafanuzi. Nilikuwa najiuliza kuhusu idadi ya wapiga kura ambao ni madiwani. Hali ilivyo ni kwamba madiwani nane hawapo. Kanuni zinaruhusu kuendelea na uchaguzi?
   
Loading...