Uamsho waanza harakati zao upya huko Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho waanza harakati zao upya huko Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkataba, Jul 15, 2012.

 1. m

  mkataba Senior Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo jioni ktk pitapita zangu barabara ya DARAJA BOVU to Uwanja wa ndege Zanzibar nimeshuhudia UMATI MKUBWA WA VIJANA wengi mno wakiwa ni Wazanzibari waislam na wafuasi wa Taasisi ya UAMSHO wakiandamana kama kawaida yao wakimaliza mihadhara yao wakiwa na kauli mbiu hii:

  "PIGA MABOMU, PIGA RISASI LAKINI MUUNGANO HATUUTAKI.........." na "SENSA HATUITAKI........."

  Cha kushanganza Polisi wapo lakini hakuna hawawezi kuwafanya lolote na nimewasikia wakisema kuwa katu hawatoshiriki SENSA NA WANAWAUNGA MKONO WAISLAM WENZAO WA TANGANYIKA
  .

  uamsho.png uamsho01.png
  Mhadhara wa leo jumapili mpendae. Haya ni Maandamano yaliyofanyika juzi ijumaa jioni lakini hakuna media yyte ilioyatangaza.
   
 2. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gooooooooooooooood. Hakuna sensa.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hilo la muungano sawa

  Lakini sensa bado sijaelewa
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Waislam na akili zao wanajijua wenyewe for sure
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mhhh, hao wa nchi jirani wache wafanye mambo yao
   
 6. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nawaunga mkono kwa 150% UAMSHO waendelee hivyo hivyo kudai nchi yao ila wadai kwa kutochoma makanisa moto mpka kieleweke endeleeni kwa nguvu zote hatuwataki kabisa tubaki kama majirani tu please kwa nguvu zote daini haki yenu ambayo mnafikiri mnadhulumiwa. waiteni wengine walioko nje ya zenj waje wawasaidieni. kwenye sensa mmechemsha hapo toeni hilo dai
   
 7. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha matusi. wewe.
   
 8. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona kanisa umeweka mbele mkuu?
   
 9. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu nimeyaweka mbele kwa sababu fujo zilizoisha walihusishwa na uchomaji wa makanisa na ndio nimesema wadai haki yao bila kuvunja amani kwa kuvunja makanisa maana sikusikia kama walichoma misikiti.
   
 10. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hoyeee . endelezeni shinikizo mpaka muungano ukatike. Maandalizi ya sensa yamekamilika ni niwajuavyo waislamu hawajawahi kuwa na umoja madhubuti kwani ambao hawatahesabiwa ni wale wa Dar na Zanzibar tu kwani mikoa mingine hawaoni sababu ya kutohesabiwa . Waislamu wasomi pia wengi wanakubali kuhesabiwa kwani wana uwezo angalau wa ku reason.
   
 11. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa hili, yangu ma-jicho.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Itabidi tuwe na umoja sasa...maana makanisa yana umoja

  RC=Lutheran=TAG=Upako=anglican (japo hawa wameruhusu mashoga)

  Aisee mna umoja sana nyinyi
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  CCM waligeuza dini kuwa mtaji wa kisiasa, sasa matakeo yake ndiyo haya. Na hapo bado mtaji wa ukabila unaopaliliwa na Nape na Nchemba haujaiva. Ukiotesha basi huwezi kuvuna karanga.
   
 14. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimechoka bhana! Nataka tanzania ya miaka mi tatu ijayo nione leo. Kuna mabadiliko makubwa sana lakini yana cheleweshwa tu!
   
 15. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kweli sasa naona nchi haitawaliki...
   
 16. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mungano chukueni tu
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Sasa tatizo UAMSHO wakaanza mfungo sijui Kama watakuwa na nguvu ya kudai tena nchi Yao labda jioni baada ya kunywa uji
   
 18. S

  SPANERBOY UDZUNGWA JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Somalia
   
 19. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Ngoja rais wao awalipue

  Muungano hautavunjika nitautetea-DR SHEIN
   
 20. S

  SPANERBOY UDZUNGWA JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Somalia
   
Loading...