Je hii Mihimili Mitatu ya Dola Imetufundisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii Mihimili Mitatu ya Dola Imetufundisha nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gerald, Jul 18, 2012.

 1. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwakuo hoja nyingi bungeni na wabunge kuzibwa midomo kutokana na katiba yetu na sheria zake mbovu kutojali maslai ya wananchi je Tumejifunza nini?

  Pia tukumbuke serikali imetumia huu mwanya kuficha uozo wake mfano:

  1. Mahakama; serikali imetumia sheria mbovu za kikatiba kuanzia uteuzi wa majaji na mamlaka aliyonayo Raisi na itikadi ya chama cha kumtumika bosiwake once wanapotenda maovu yao mfano (Epa, Mikataba inayotoa mwanya wa rushwa kupelekea kuzalisha ufisadi, kagoda na kadhalika.

  2. Police; kutofanya kazi zake kiprofesional kwa itikadi ya chama, tumeshuhudia mengi yaliyotokea pasipo umakini wa ichi chombo kuyafanyia kazi kwa sababu ya kutumiwa na wachache ambapo utumia ubovu huu huu wa katiba iliyopo kutuazibu wananchi mbaya zaidi ni mauaji ya ndugu zetu na kupotosha vidhibitisho vya hali halisi ya matukio.

  3. Bunge; Hapa ndio kabisaa jinsi katiba na sheria zetu zilivyokua mbovu ndio hawa wanaojiita watunga sheria kutuchezea. Imekua ni jambo la kawaida kila sensitve issue uwatumia police then police utumia mahakama ili likishafika uko mahakamani lisijadiliwe or lisirudi bungeni ila yale wanayoyapenda wao ndio yajadiliwe je wanatupeleka wapi ichi kikundi mfu?

  Note:
  Jf & Gt plse hizi movie wanazotuundia tuachane nazo cause mmeona mengi yaliyotokea pasipo majibu or action been taken. Nina wasiwasi na TIS wanajaribu kuunda kila kukicha movie ili mwisho wake mkajikuta watu wameshachakachua maoni ya katiba bila ya hata wanaharakati na wanasiasa kuwapa elimu ni nini wanachokitaka kwenye katiba yao na hatma yake kikundi flani wakishirikishwa na ma DC kuweka watu wao kwenye mijadala kwenda kutoa maoni ya kundi flani.
  Ningeomba Gf, wanaharakati, wanasiasa raia wote kwa ujumla tupeleke mawazo yetu kwenye michango ya kuipata katiba yetu hii ndio itakua suluhisho ya haya matukio yoote yanayotutokia.

  Angalizo kasi wanayoenda nayo hii tume tusijekushangaa baada ya hizi movie zao wao washamaliza kukusanya maoni.

  Tujadili, toa maoni then chukua hatua.
   
 2. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wazo binafsi
  Tungekua na update ya kila siku tume ipo wapi, wananchi wametoa maoni gani, nini kimetokea kila sehemu waliopita tume, je kunaukiukwaji wowote uliotokea? Etc. Najua gt wapo kila mikoa na uwezekano wa kupata update kila sehemu tume ilipo upo. Hii itasaidia kujua je huu mchakato aujahodhiwa na kundi flani.

  Embu member wote fanyeni kama mnavyoleta live kwenye matukio mengine ya kisiasa nk.

  Ningeomba pia Mod aweke main topic (Michango: Tume ya Katiba) then kila mtu anatupia uko update za michango ya kila maeneo tume inapopita.

  Ni mawazo tuu unaweza ukaboresha iweje.
   
Loading...