Kwa mujibu wa taarifa kutoka taasisi za kimataifa za fedha, mkoa wa Mtwara unatarajiwa kuwa na uchumi mkubwa kuliko mikoa yote ya Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia sasa.Ugunduzi wa gas...
Na Mwinyi Sadallah
22nd July 2012
Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Hassan Nassor Moyo, amesema kwamba wakati mazungumzo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanafanyika, Msaidizi Mkuu...
Taarifa za kuaminika kutoka kwa watu makini waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani kigoma leo zinaonye CCM imeendele kudhihirisha kwamba inaelekea kwenye anguko kuu la kisiasa baada...
Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya, ndugu Emmanuel Mlak, ambaye ni muasisi wa CHADEMA, Tawi la Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, awekwa ndani kwa siku mbili baada ya kuiba vitu akishirikiana na wenzake wa...
Itv wameripoti hali mbaya ya kina cha maji mtera wakati na mvua ndo izo zinakatika bwawa halijajaa. Maskini wabongo tutaendelea kuhofia umeme wa maji mpaka lini.
Taarifa ndani ya serikali...
Monday, 16 July 2012 13:51
Elias Msuya
MKUTANO ulioandaliwa na wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpokea na kumsikiliza Mbunge wao, Faustine Ndugulile jana ulipigwa...
Watanzania wengi waliosoma vyuo vikuu vya Serikali huku wakifadhiliwa na Serikali kwa Asilimia tofauti 'Boom', Wamekuwa wakikatwa kwenye Mishahara yao kila mwezi pia kwa viwango tofauti. Taarifa...
Tundu Lissu alikuwa sahihi alipoomba kutoa hoja ya kujadili kuhusu meli iliyozama. Kanuni iko wazi:
*************
47.-(1) Baada ya Muda wa Maswali kwisha, Mbunge yeyote anaweza kutoa hoja kuwa...
Werema, madaraka uliyo nayo yanapaswa kushikwa na mtu mwenye weledi wa hali ya juu katika sheria na mtu anayetumia busara katika kila afanyalo au alisemalo. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye...
KAMATI ya Nishati na Madini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekubali wazo la wadau kuhusu rasimu ya sheria ya gesi kuwa na mapungufu makubwa ikiwemo waziri kupewa madaraka makubwa...
Mahakama ya hakim mkazi Tabora imewakuta wabunge na makada wa CHADEMA hawana hatia katika shitaka la kumshambulia mkuu wa wilaya ya Igunga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga...
Kuna hawa waheshimiwa wanaotaka kuipeleka Serikali mahakamani kudai kwamba kodi ya magari machakavu ni ya kibaguzi kwa vile iinabagua watu masikini dhidi ya matajiri.
Ukinunua gari lililotumika...
Katika kipindi hiki kifupi CDM wametoa shutuma / malalamiko yafuatayo:
Hujuma za kutaka kuuliwa viongozi wake
Tuhuma za kutumiwa simu za wabunge wa CDM kutuma sms za vitisho kwa Mh. Mwigulu...
Vijana wanajua wanajumuiya lakini wameamua kuleta hoja yao... kituko zaidi ni pale wanapoamua kumtumia DIAMOND na viongozi wa CCM kuja, taking a wagon ya DIASPORA na vitu vingine kufanya siasa za...
EMPTY SEAT NUMBER 666
The Vacant Seat Number 666 in the European Parliament
The Tower Building (namedafter the Tower of Babel ) houses the Fifth Parliamentof Europe. It is certainly a building...
Mara nyingi yanapotokea majanga serikali imekuwa ikiunda tume na kutoa ahadi kibao za kukomesha majanga hayo yanayotafuna maisha ya waTZ kila kukicha, lakini cha kustaajabisha ni kwamba majanga...
sasa hivi huyu mzee amekua kimya sana sijui kulikoni? tulikua tunakusikiliza kwa makini sana pale baraza la wawakilishi, kama upo jitoke ze hata hapa jamvini utuambie kinachoendelea!
Salaam,
Kikao cha Bunge kinaendelea leo baada ya kumalizika kwa siku tatu za maombolezo kufuatia ajali ya kupinduka na kuzama kwa Meli iliyokuwa inaelekea Zanzibar huku kukiwa ni viporo viwili...
Kataa ukubali lakini ajali ya Meli Zanziba imesababishwa na CHADEMA.
Kwa umahiri wao wa kupeleka hoja zenye maslahi kwa nchi kumekifanya chama hiki kipendwe sana na wananchi na kuifanya CCM kuwa...