Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama unakumbuka CCM iliwahonga CDM viti vya ubunge ili kuiondoa CUF ,kuna muelekeo kuwa 2015 CCM itawaachia CDM kiti cha Uraisi .
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
CCM- TOKA CHAMA CHA UMMA MPAKA CHAMA CHA WENYEWE. SAFARI YA CHAMA CHANGU CCM TOKA TANU MPAKA SASA. KWA WALE TULIOZALIWA ENZI HIZO TUMEYAPITIA HATUA NYINGI ZA KIMABADILIKO KWA TANU NA CCM...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mheshimiwa Spika. Pole kwa majukumu mazito! Kiini cha tatizo la utoro, na suhisho, ila ufanye kwa data/takwimu ambazo unazo kwenye taasisi yako. ->Ukiangalia statistics zako za mahudhurio ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali yetu na wananchi wa Tanzania wananishangaza sana maana wanataka serikali ifanye vitu vingi zaidi na wakati huohuo hawatoi mawazo ni jinsi gani ya kupunguza serikali. Serikali inatakiwa...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Katika barua yake kwenda kwa mhariri mtendaji mkuu wa Mwananchi. Hii ni sehemu ya waraka huo wa Nassari. Nukuu hiyo si ya kweli. Nimesikitishwa sana na upotoshaji mkubwa wa kunilisha maneno...
12 Reactions
120 Replies
10K Views
ni habari nzuri kwa kila mwanaccm maana huyo ndiye atakeyeweza kuipeleka mbele ccm, ni msomi ana uzoefu, hana makundi hana udini,, sio mswahiliswahili na historia inaonyesha wizara zote...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Naipongeza hatua ya waziri wa mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Kujiuzulu na kuwajibika kwa yaliyotokea kwa hili ni shujaa kwani kwa serikali yetu kitendo hiki ni nadra kutokea katika utawala...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Stay Connected / Tuesday, July 24, 2011 Deputy Speaker Job Ndugai had to adjourn Parliament due to the lack of a quorum because over 70 per cent of the MPs were absent on Saturday. The...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
NA THOBIAS MWANAKATWE 24th July 2012 Wakati serikali ikiwa imekwishatenga Sh. trilioni 11.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es salaam, Diwani wa Kata ya Vijiweni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
chama cha wanainchi CUF kinatarajiwa kuzindua operation mchakamchaka mpaka 2015 ambayo haitakoma mpaka uchaguzi wa 2015 ambapo uzinduzi wake utazinduliwa katika viwanja vya jangwani mwanzo mwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mh. Zitto mnamo 27th November 2010 15:10 ulituandikia haya: Zitto Mwaka 2010 - 2011 nimeamua kujikita kwenye Rural Growth, Gas and Petroleum sub-sectors and Leadership Ethics. Rural growth kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kuona wananchi wengi wanadai Nchi yao na wao wanajifanya wapo upande wa wananchi wa kudai Nchi yao hali ya kuwa wao mwanzo ndio walipokuwa wanapinga harakati za kuidai Zanzibar huru lkn...
0 Reactions
3 Replies
869 Views
Jamani kila nikiangalia bunge.....huwa ninafurahi sana.....lakini spika kuwafokea watu wazima kama watoto wadogo....huwa najisikiaga vibaya........sifahamu nyinyi wenzangu........... Hii kauli...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Sisi kama Watanzania inabidi tufanye kazi kwa ajili ya hatma ya taifa moja, lenye nguvu na umoja. Hivi ile hali ya zamani imekwenda wapi kwa watu wa dini zote kupendana na kushirikiana? Mimi kama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hakuhudhuria vikao vitatu mfululizo vya Baraza la Mawaziri na hivyo kitendo cha kiti chake kutanda utando wa buibui...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri kuwa huyu kijana anakoelekea ni pabaya kwani mbali na kuwakosanisha vijana ndani ya CHADEMA na wengine kunukuliwa visivyo na magazeti sasa imenipelekea kufuatilia anuani yake ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkae mtulie kwa upendo na heshima. Muongee kwa staha na kwa kujenga hoja.Mheshimiane nyinyi kwa nyinyi.Tumieni Katiba yenu kumaliza hoja yoyote itakayoletwa mezani. Msikubali kupambanishwa na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuendelea kwa serikali ya CCM kuwatisha waislam kuwa watachukuliwa hatua kali endapo hawatashiriki sensa,rejea kauli ya mwanasheria wa sensa na JK. Pia kwa tabia wanayoionesha kutokuwaheshimu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana jf,nakumbuka wakati wa vuguvugu la wafanyakazi wa serikalini kutangaza mgomo wengi mtakumbuka kauli ya mkuu wa nchi aliposema,'mie ndiye mwajiri mkuu kwa upande wa watumishi wa umma,mkimfuata...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…