Viongozi wa zanzibar ni wanafki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa zanzibar ni wanafki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maroun MU, Jul 24, 2012.

 1. Maroun MU

  Maroun MU Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuona wananchi wengi wanadai Nchi yao na wao wanajifanya wapo upande wa wananchi wa kudai Nchi yao hali ya kuwa wao mwanzo ndio walipokuwa wanapinga harakati za kuidai Zanzibar huru lkn nw wanajifanya wapo pamoja na wananchi,Wazanzibar tuwe peke yetu tusiwashirikishe viongozi hao hawana nia nzur na Wazanzibar,JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Aloo weye wazungunza kitu gani ,naona mistari ina jazba ,tulia andika kitu kilicho wazi ,kila mtu afahamu hata wale akina yahe ,wapate cha kuandika.
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ardhi ni mali ya raisi ninyi hamna chenu hapo
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ndio maana ukadumazwa.We baki apo apo ardhi ni mali ya raisi.
   
Loading...