Hii tabia ya spika Anne Makinda kufokea watu kama watoto inanifanya nijisikie vibaya...

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Jamani kila nikiangalia bunge.....huwa ninafurahi sana.....lakini spika kuwafokea watu wazima kama watoto wadogo....huwa najisikiaga vibaya........sifahamu nyinyi wenzangu...........

Hii kauli ;kaaa chiniii
 
Hayo usemayo ni kweli inakera sana, hapa ndipo tunapomkumbuka mzee wa standard na speed
 
Jamani kila nikiangalia bunge.....huwa ninafurahi sana.....lakini spika kuwafokea watu wazima kama watoto wadogo....huwa najisikiaga vibaya........sifahamu nyinyi wenzangu...........

Hii kauli ;kaaa chiniii

Mkuu nani amefokewa tumpaishe juu haraka!
 
Kukosa mume na kutowahi kuzaa husababisha ugonjwa fulani kisaikolojia unakuwa na 'kichaa' fulani cha kisaikolojia...watafiti wa saikolojia watatuhabarisha zaidi ila habari ndio hiyo!!
 
Jamani kila nikiangalia bunge.....huwa ninafurahi sana.....lakini spika kuwafokea watu wazima kama watoto wadogo....huwa najisikiaga vibaya........sifahamu nyinyi wenzangu...........

Hii kauli ;kaaa chiniii

Ni kawaida sana kwa wanawake wa kikinga na kibena, wao wana matrinial system ktk tamaduni zao, wanamke ndie kila kitu.
 
mwanamke anayeishi bila mume mara nyingi anakuwa na hulka za ajabu ajabu tu, hizo zote ni kukosa mume
Tabia ya mtu asiejiamini, especially akipewa madaraka, huwa ni kuwa na ukali usiokuwa na logic behind. Kwa kawaida karibia 75% ya wanawake wasiokuwa na waume huwa na tabia kama hii, hasa inapokuwa matumaini ya kupata mume (sio hawara, nina maana "MUME"), yanapofikia ukingoni kutokana na kigezo cha umri. Jaribu kufanya uchunguzi utagundua hivyo.
 
Ni kawaida sana kwa wanawake wa kikinga na kibena, wao wana matrinial system ktk tamaduni zao, wanamke ndie kila kitu.

ndo leo nasikia, ninavyojua wnanwake wa kikinga na kibena huwa n wanyeyekevu sana na hawana sauti kabisa juu ya waume zao
 
Back
Top Bottom