MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uko hatarini kufilisika na kupoteza fedha za wanachama wake.
Hii inatokana na serikali kushindwa kurejesha katika mfuko huu, mabilioni ya shilingi...
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu imepanga kwenda mahakamani kuzuia zoezi la sensa na kupinga kauli iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu (Bakwata), Mufti Issa Shaban Simba, kwamba...
Ni vyema sasa sheria za uchaguzi zikarekebishwa ili angalau mshindi wa pili na watatu waliogombea uraisi kwa vyana vya siasa watakao shindwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu kuingia...
Mwenyekiti wa chadema wa moja ya kata katika arumeru mashariki bw nuru macha na wanachama wengine 15 wa chama hicho wamehamua kujiunga na ccm
source Daily News...
Siku zote huwa naamini regardless utofauti wa itikadi za vyama lkn lengo kubwa la tuliowapigia kura na kuingia Mjengoni ni kuhanikiza maendeleo yetu na ya majimbo yetu sisi wapiga kura,lkn jambo...
Mwanasheria mkuu wa zanzibar asesema ukweli leo kuwa hakuna muungano adai yakuwa muungano upo tu kama kiini macho lakini kiuhalisia muungano haupo hilo kalisema leo katika semina ambayo inaendelea...
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa kamati ya siasa ccm mkoa wa mwanza kumvua nafasi ya uenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya misungwi ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu wa fedha uliogunduliwa na...
MFANYABIASHARA maarufu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Jaffer Sabodo amekichangia tena Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), sh. milioni 10, huku akitoa ahadi nyingine mpya ya...
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka...
Kufuatia kifo cha Rais wa Ghana viongoz wa tanzania wamejifunza nini.Kw sababu wamejilimbikizia mali nyingi huku wananchi wakiwa hawana matumaini yoyote ya maisha yao ya baadae.Hivyo wajue kifo ni...
kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya...
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba msajili wa hati pale wizara ya ardhi amesimamishwa kazi kufuatia kukataa kusaini hati ya naibu waziri, kama kuna mtu ameisikia aiweke vizuri humu...
Leo naona viongozi wengi wapo front line mnazi mmoja lakini simuoni makamu wa kwanza wa rais kutoka serikali ya mseto Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad au yeye hausiki kwenye mambo haya ya magamba?
Wanajf, nimekutana na hii habari na naona kwa kiasi kikubwa sana inafanana na kilichotokea hapa kwetu. Kwa wale wananofuatilia mustakabali wanchi tunaweza kuangalia hii hali. Msijali hii...
JUMATANO, JULAI 25, 2012 04:49 NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
*Wadai ameshindwa kuwatetea wananchi wake
*Yawahimiza wananchi kutoa maoni Katiba mpya
WIMBI la mikutano ya Chama cha Demokrasia na...
Madiwani 22 wa CCM wa wilaya ya Misungwi (mkoa wa Mwanza) wamejiorodhesha na kutishia kutaka kuhamia CHADEMA kutokana mgogoro uliopo kati yao na viongozi wa CCM wilaya, Tanzania daima leo...
Baada ya Mbunge wa CCM Bwana Mwigulu Nchemba kutoa tuhuma nzito Bungeni kuwa ametishiwa maisha na Wabunge wa CHADEMA kwa njia ya SMS kupitia simu za mkononi imebainika kuwa SMS hizo ni za kughushi...
Sijawahi kutembelea nchi yoyote zaidi ya nchi yangu Tanzania.Tanzania tumekuwa na utaratibu wa kuwaenzi viongozi mahiri na mashujaa mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania.Kwa mfano tumekuwa...