Kifo cha rais wa Ghana, Viongozi wa Tanzania watajifunza nini?

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Kufuatia kifo cha Rais wa Ghana viongoz wa tanzania wamejifunza nini.Kw sababu wamejilimbikizia mali nyingi huku wananchi wakiwa hawana matumaini yoyote ya maisha yao ya baadae.Hivyo wajue kifo ni mwsho wa yote na hakina taarifa.Watumikien wananchi muwe na uzalendo kwa watanzania.Nawasilisha wakuu
 
Ghana's President John Atta Mills dies

_60996902_ghana_mills_g.jpg


President Atta Mills came to power in 2009

Continue reading the main storyRelated Stories



Ghana's President John Atta Mills, who was suffering from throat cancer, has died in the capital, Accra.

A statement from his office said the 68-year-old died a few hours after being taken ill, but did not give details.

"It is with a heavy heart...that we announce the sudden and untimely death of the president of the Republic of Ghana," the statement said.
Mr Atta Mills has ruled the West African country since 2009.

The BBC's Sammy Darko, who is at the military hospital in Accra, says Mr Atta Mills' voice has been degenerating in the last few months.

A presidential aide said the leader had complained of suffering pains on Monday evening and he died on Tuesday afternoon, Reuters reports.

He had returned to Ghana after visiting the US for medical checks, the news agency says.

Mr Atta Mills came to power after narrowly winning against a candidate from the then governing New Patriotic Party, Nana Akufo-Addo, in polls in December 2008.

He was to run for a second term in December.

* Hakujilimbikizia mali; wamepata Mafuta Wanasaini Mikataba kiungalifu kweli

Hawataki kuwa kama Nigeria
 
Kwa Kifo hiki nafikiri viongozi wetu wanawaza Safari ya Kwenda Msibani Ghana so watapata PER DIEM na ADVENTURE hususani MKULU! maana huwa hakosi misiba huyu!
 
Kwa Kifo hiki nafikiri viongozi wetu wanawaza Safari ya Kwenda Msibani Ghana so watapata PER DIEM na ADVENTURE hususani MKULU! maana huwa hakosi misiba huyu!
Wameanza kujipigia kampeni ya kuwa kwenye msafara wa msiba ndugu yangu Posho ndio wanalenga viongoz wetu
 
Ghana's President John Atta Mills dies

_60996902_ghana_mills_g.jpg


President Atta Mills came to power in 2009

Continue reading the main storyRelated Stories



Ghana's President John Atta Mills, who was suffering from throat cancer, has died in the capital, Accra.

* Hakujilimbikizia mali; wamepata Mafuta Wanasaini Mikataba kiungalifu kweli

Hawataki kuwa kama Nigeria

A God fearing man John Atta Mills Mungu akupe taji la ushindi! Vita umevipiga, imani umeilinda na mwisho umeufikilia mwisho wa mateso na kuanza ukurasa mpya wa maisha mapya ya umilele....Rest In Peace true son of Africa!
 
A God fearing man John Atta Mills Mungu akupe taji la ushindi! Vita umevipiga, imani umeilinda na mwisho umeufikilia mwisho wa mateso na kuanza ukurasa mpya wa maisha mapya ya umilele....Rest In Peace true son of Africa!

Oh Yes! Hayo maneno kwenye red mazito sana Mkuu. Nilikuwa nakutana naye kwa T. B. Joshua. Tofauti na vimulimuli vya kidunia vilivyokuwa vikiongoza misafara yake wakati wa uhai wake, hakika muda mfupi uliopita amelakiwa na msafara mzito ulioongozwa na Gabriel na moja kwa moja akapelekwa mbele ya Kiti cha Enzi na kuvikwa Taji ya Uzima na Bwana YESU Mwenyewe. Furaha iliyoje.
 
Hapo sasa hivi VIONGOZI wetu wanapiga fitna ya kujumuishwa kwenye msafara wa ****** kwenda kuzika. maana bila shaka ****** lazima aende kumbe angeweza kumtuma hata balozi wetu alie nchi Jirani (Nigeria) akamuwakilishe lakini kwa sasa anataka akauze sura lazima atie timu mwenyewe......Tujikumbushe alipokwenda kuzika Malawi(Bingu wa Mutharika), Zambia (mwanawasa), South Africa (Mama Albertina Sisulu), sasa Ghana (atta Mills) naona hivi karibuni atenda Kenya(maana Mzee naona amechoka hoi any time anaweza kuwahi Akhera, coz hata kuongea inakuwa taabu). BRO mbona kuzika imekuwa AGENDA YAKO NAMBA 1?huna lingine la kufanya?
 
Amefia nchini kwake, katika hospitali zao, hilo nalo la kujifunza siyo kila kitu India huku tunaacha hospitali zetu hoi hat panadol shida! R.I.P Mills.
 
Synagogue church of all nations shall miss u so badly and sorrowly.I reckoned u as a symbolic as well as rhetoric figure that for any uprising politician would definitely like to follow his foot steps all over the continent for a voicelessed society!!
 
mungu hivi kwa nini unawaondoa watu wema humu duniani...yaani kuna wengine tuna mamizigo ya misumali lakini unayapa maisha marefu yanadunda tu na kazi kutusababishia foleni tu njia ya tazara kutoka airport...chukua haya madubwana mheshimiwa mwenyezi mungu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom