Kesi ya Uchaguzi Igunga

Kesi ya Uchaguzi Igunga

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
9,739
Reaction score
4,745
kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya uwaziri katika kufanya kampeni kwa chama chake (CCM), cha kushangaza akuweza kutokeza mahakamani na maelezo yaliyotolewa ni kwamba ana ED ya mwezi mzima hivyo hawezi kufika hadi hapo ED itakapokwisha. Uamuzi wa JAJI amewapa CCM masaa 48 tangu jana Magufuri awe amefika kutoa maelezo yake ya utetezi wasipofanya hivyo ndiyo itakuwa mwisho na tarehe ya Hukumu itapangwa.
My Take
Hii si inaonyesha Dharau kwa mahakama? kama ana ED mbona Bungeni anahudhuria, kwa mnao jua sheria kwa mtu kama huyu anayedharau mahakama huwa anachukuliwa hatua gani?

Mwendelezo:-
Baada ya Mh. Mgufuli kupewa masaa 48 awe amekuja kutoa maelezo amekaidi amri hiyo na inasemekeana amesema hawezi kuja kutoa maelelzo kama uchaguzi kurudiwa na urudiwe. Jaji ameamua kusitisha utetezi huo na kuhairisha kesi hadi tarehe 20.08.2012 ambayo ndiyo itakuwa siku ya hukumu. Kabla ya kutoa uamuzi huo alipokea barua kutoka kwa wanasheria wa mlalamikaji kuhusiana na kietendo cha ukaidi wa Mh. Magufuli.
NB.
Katika kesi hii Kafumu amekuwa akilalamika kutengwa na CCM katika suala zima la kesi kiasi imebidi atumie fedha zake katika gharama za uendeshaji wa kesi kwa watu wa upande wa CCM na isitoshe kitendo cha Magufuli kutokuja kutoa maelezo kimemuhudhunisha sana na kumkatisha tamaa na hususani kauli ya kusema kama kurudiwa uchaguzi na urudiwe, kiasi amesikika akisema anajilaumu kwa kuacha Ukamishna na kukimbilia Ubunge.

KESI KWA UPANDE WA CCM IMEWAKALIA VIBAYA LABDA ICHAKACHULIWE.

Nawasilisha.
 
kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya uwaziri katika kufanya kampeni kwa chama chake (CCM), cha kushangaza akuweza kutokeza mahakamani na maelezo yaliyotolewa ni kwamba ana ED ya mwezi mzima hivyo hawezi kufika hadi hapo ED itakapokwisha. Uamuzi wa JAJI amewapa CCM masaa 48 tangu jana Magufuri awe amefika kutoa maelezo yake ya utetezi wasipofanya hivyo ndiyo itakuwa mwisho na tarehe ya Hukumu itapangwa.
My Take
Hii si inaonyesha Dharau kwa mahakama? kama ana ED mbona Bungeni anahudhuria, kwa mnao jua sheria kwa mtu kama huyu anayedharau mahakama huwa anachukuliwa hatua gani?

Contempt of the court! Anawekwa ndani mara moja, kama sababu sio ya msingi au inaonesha kila dalili ya kuidharau mahakama.
 
kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya uwaziri katika kufanya kampeni kwa chama chake (CCM), cha kushangaza akuweza kutokeza mahakamani na maelezo yaliyotolewa ni kwamba ana ED ya mwezi mzima hivyo hawezi kufika hadi hapo ED itakapokwisha. Uamuzi wa JAJI amewapa CCM masaa 48 tangu jana Magufuri awe amefika kutoa maelezo yake ya utetezi wasipofanya hivyo ndiyo itakuwa mwisho na tarehe ya Hukumu itapangwa.
My Take
Hii si inaonyesha Dharau kwa mahakama? kama ana ED mbona Bungeni anahudhuria, kwa mnao jua sheria kwa mtu kama huyu anayedharau mahakama huwa anachukuliwa hatua gani?
Hiyo ED ya mwezi mzima ya nini? Ana Ujauzito?
 
Mahakama ni ya CCM na yeye ni kiongozi wa CCM, hivyo hata akidharau mahakama hakuna lolote litakalompata. Angekua Mbowe au Slaa angekodiwa ndege mpaka Tabora, cjui Igunga pale!!
 
Alitakiwa apelekwe Central Police alazwe rumande, kisha apelekwe Mahakamani kwa ndege ya jeshi akiwa under Escort ya kundi la maaskari. Si ndio utaratibu? Au...
 
kama hajaenda hadi leo itakuwa imekula kwao, au anajua hana cha kujitete
 
hiyo kwa CDM tuuuuu

Alitakiwa apelekwe Central Police alazwe rumande, kisha apelekwe Mahakamani kwa ndege ya jeshi akiwa under Escort ya kundi la maaskari. Si ndio utaratibu? Au...
 
Alitakiwa apelekwe Central Police alazwe rumande, kisha apelekwe Mahakamani kwa ndege ya jeshi akiwa under Escort ya kundi la maaskari. Si ndio utaratibu? Au...

zinatakiwa ziundwe mahakama za gachacha mtu aifikishwa mahamani asubuhi saa mbili saa nne ameshahukumiwa, hakuna kudekeza mtu!!
 
Magufuli alimharibia sana Kafumu. Suala la kurudiwa uchaguzi Igunga haliepukiki, na hapo ndipo CCM watakiona cha moto.
 
Wanajaribu kuvuta muda ili wachakachue vizuri hata kwenye kesi.
 
kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya uwaziri katika kufanya kampeni kwa chama chake (CCM), cha kushangaza akuweza kutokeza mahakamani na maelezo yaliyotolewa ni kwamba ana ED ya mwezi mzima hivyo hawezi kufika hadi hapo ED itakapokwisha. Uamuzi wa JAJI amewapa CCM masaa 48 tangu jana Magufuri awe amefika kutoa maelezo yake ya utetezi wasipofanya hivyo ndiyo itakuwa mwisho na tarehe ya Hukumu itapangwa.
My Take
Hii si inaonyesha Dharau kwa mahakama? kama ana ED mbona Bungeni anahudhuria, kwa mnao jua sheria kwa mtu kama huyu anayedharau mahakama huwa anachukuliwa hatua gani?

48 hours zinaisha saa ngapi mkuu!
Tunataka uhondo uendelee
 
ED ya mwezi mzima ni kali.
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
Nakumbuka Mbowe alibebwa na ndege to Arusha na Dr Namala alipelekwa mahakamani.
Kumbe kuna Ed ya mahakamani na Ed ya Bungeni!
Hata hivyo jamani hili swala hatutakiwi kulijadili maana linaingilia mwenendo wa kesi iliyopo mahakamani
 
Back
Top Bottom