Kusimamishwa kazi kwa msajili wa hati wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba msajili wa hati pale wizara ya ardhi amesimamishwa kazi kufuatia kukataa kusaini hati ya naibu waziri, kama kuna mtu ameisikia aiweke vizuri humu jamivini. NAWASILISHA.
 
Ni bora maana wanasutusumbua sana na upatikanaji wa hati.
Ni harufu ya rushwa rushwa tu
 
Back
Top Bottom