Jicho la huruma la Serikali ni kama hili hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho la huruma la Serikali ni kama hili hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by washwa washwa, Jul 23, 2012.

 1. washwa washwa

  washwa washwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 1,522
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia baadhi ya wabunge wakati wakichangia mijadala mbalimbali wakiitaka Serikali iwaangalie kwa jicho la huruma.Baada ya kutafakari kwa muda namna hilo jicho la huruma linavyofanana, nafikiri wadau linafanana na hili hapa chini au mnasemaje?

  [​IMG]
   
 2. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mmhh!!!
   
 3. d

  drgeorge Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha mambo ya ajabu hili si jicho lahuruma ila ni la mahaba, we vipi unadhani serikali ina mahaba na wewe? Halafu hao wabunge ni vimeo hawaelewi wanachosema
   
 4. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mweee!
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nahisi unakosea sana
   
Loading...