M4C yatinga tena Washington DC - Kstibu wa CDM Arusha aenda kulinoa zaidi

chachana

Member
Aug 4, 2011
57
92
Baada ya kuzinduliwa hivi karibuni, tawi la CDM DC, Maryland na Virginia wamemualika katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Mhe Amani Golugwa kwenda kulijenga na kusimamia uchaguzi mdogo wa TAWI wa viongozi wa chama.

Kabla ya uchaguzi huo mwenyekiti wa muda wa tawi alikuwa ni mhe kalley pandukizi ambapo sasa aliyechaguliwa ni mhe cosmas wambura.

Katika ziara hiyo, mhe Amani Golugwa anakutana na WaTZ wanachama wa chadema na kuendeleza operesheni ya vua gamba vaa gwanda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom