Tangazo: "chadema sasa yafutwa rasmi" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo: "chadema sasa yafutwa rasmi"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Jul 23, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Jaman mchuano wa CHADEMA na CCM sasa umekua mkubwa kiasi cku zinapokaribia 2015 mambo mzito yanaibuka. watu wanatishiwa maisha wengne wanataka wapinzani wao wafutwe na msajili wa vyama, sasa je ikatokea leo chadema ikafutika yenyewe au vingnevo ccm na serikali yake unaipa sura gani kwa jinsi walivyobanwa mbavu?
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  mkuu vipi? mbona hueleweki?
   
 3. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kichwa cha habar na habar yenyewe wala haviendani. Hujaeleweka. Rudi teka kajipange upya
   
 4. m

  mob JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  mkuu nilishangaa sana juzi nape aliongea dar na mchemba akaongea na waandishi dodoma ila cha kushangaza hakuna gazeti hata moja la jana liliripoti ile habari ni tv tu zilisema kwa ufupi niligundua vitu viwili mosi ni kuwa waandishi waliwachoka au habari zao zimegeuka kuwa sio habari tena. Wito wangu kwa vyama hivi vikuu ni kuwa si kila mara mnatakiwa muwaite waandishi mnatakiwa mkiwa na isssue burning mnafanya ivyo sio kila kitu mnakanusha na kulalamika
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Binafsi sioni madhara yoyote CDM ikifutwa kwa vile kwanza wamekuwa kikwazo kikubwa sana kwa amani, maendeleo, umoja na mshikamano nchini. Siasa za majungu, kashfa, kuwarubuni watanzania na kuwashawishi wasishiriki katika shughuli za maendeleo ni tatizo kubwa sana linalosababisha CCM isitekeleze ilani ya chama ya kuwaletea wananachi wake maendeleo.

  If possibe, let CHADEMA die for the delevelopment of the nation.
   
 6. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  hahahaha kweli mambo ni magumu kuvuja kwa pakacha
  chadema tunachukua kiulaini 2015 iendelee hivyo hivyo
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Unakunywa gongo kila kukicha mapema au ?
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Si katumwa aandike tu unafikiri ni akili yake huyo. Lazima aishie kujikoroga, CDM kweli ni chama cha kukibana mbavu CCM? yaani ukoo wa LISSU, MTEI, OWENYA na SLAA ndiyo ukibane mbavu chama cha Watanzania.
   
 9. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Pumba plus uharo
   
 10. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=3]CCM Mjini Kigoma[/h]
  [​IMG]
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye uwanja wa Community Centre Mwanga, Kigoma

   
 11. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [h=2]Monday, July 23, 2012[/h] [h=3]Mgazetini Jumatatu Ya Leo[/h]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"]Reactions:: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  . Monday, July 23, 2012 0 comments [​IMG] [​IMG]
  [h=3]Mama Ametoka Kidogo...![/h]
  [​IMG]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"]Reactions:: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  . Monday, July 23, 2012 0 comments [​IMG] [​IMG]
  [h=3]Kazi Ipo...![/h]
  [​IMG]
  Picha na Lieske de Wilede akiwa Afrika Kusini [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"]Reactions:: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  . Monday, July 23, 2012 0 comments [​IMG] [​IMG]
  [h=3]Azam Marine Kuzindua Meli Ya kisasa[/h]
  [​IMG]
  Kampuni ya Usafiri wa baharini ya Azam Marine inatarajia kuzindua meli kubwa ya kisasa kwa ajili ya abiria waendao Dar es Salaam, Pemba na Unguja.


  Meneja Mkuu wa kampuni hiyo Hussein Mohamed Said, amesema Julai 15 mwaka huu meli hiyo yenye urefu wa mita 100 itazinduliwa. Mohamedi alisema shida ya usafiri itapungua kwa asilimia kubwa kutokana na meli hiyo kuwa na uwezo wa kubeba abiria 1500, Mizigo tani 500 na magari 200 ambapo abiria atakae jisikia kwenda na gari lake Zanzibar, Pemba au Dar es Salaam ataweza kufanya hivyo.

  Waziri Mwenye dhamana ya Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hamadi Masoud, alithibitisha kwamba anataaarifa za ujio wa meli hiyo ambayo alisema kwa kiasi kikubwa itakuwa ni ya kutoa huduma tu na siyakutengeneza faida. Meli hiyo inauwezo wa kwenda kasi ya notkomail 20. Chanzo: h@ki Ngowi  [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"]Reactions:: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  . Monday, July 23, 2012 0 comments [​IMG] [​IMG]
  [h=3]Usalama Barabarani[/h]
  [​IMG]
  Vijana wakiwa wamepanda kwenye lori la kubebea mchanga na vifaa vya ujenzi jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao kama walivyokutwa na Francis Godwin , Ipogolo, Manispaa ya Iringa.
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"]Reactions:: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  . Monday, July 23, 2012 0 comments [​IMG] [​IMG]
  [h=3]Kikwete Azindua Mradi Wa Maji Jijini Mbeya[/h]
  [​IMG]
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa jumuiya ya ulaya nchini, Cerian Philberto Sebregondi(kushoto),Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes na Waziri wa Maji Profesa, Jumanne Maghembe wakikata utepe kuzindua rasmi mradi wa maji safi na mazingira Mjini Mbeya.


  [​IMG]
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs (Wa tatu kushoto) na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakikagua chanzo cha maji eneo la Swaya mjini Mbeya wakati wa uzinduzi wa mradi maji safi. Chanzo: FULL SHANGWE
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"]Reactions:: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  . Monday, July 23, 2012 0 comments [​IMG] [​IMG]
  [h=3]Makamu Wa Pili Wa Rais Zanzibar Akutana Na Ujumbe Wa Bunge La Tanzania[/h]
  [​IMG]
  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akitoa ufafanuzi wa ajali ya Meli ya M.V.Skagit kwa Wabunge wa Muungano waliofika Zanzibar kuwafariji wafiwa na majeruhi waliopata ajali hiyo. Kushoto kwa Balozi ni Spika wa Bunge la Muungano Anna Makinda na Mbunge wa Mafia, Abdull Razak. Kulia ya Balozi ni Mbunge wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, Mohd Amour Chombo  [​IMG]
  Wabunge wa Muungano wakifuatilia maelezo ya makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kuhusu ajali ya meli ya M.V Skagit katika ukumbi wa juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
  Serikali zote mbili ya Muungano na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeziagiza Mamlaka zinazosimamia usafiri wa Baharini za Sumatra ya Tanzania Bara na ZMA ya Zanzibar kufanya kazi kwa mashirikiano zaidi ili kupata ufanisi na kuondoa kasoro zinazoweza kuleta hitilafu ya kiutendaji.

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alieleza hayo wakati akizungumza na Timu ya Wabunge wa Bunge la Muungano hapo ukumbi wa juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni ambao

  walifika Zanzibar kutoa mkono wa pole kufuatia ajali ya Meli ya M.V Skagit iliyotokea kati kati ya wiki hii.

  Balozi Seif aliueleza Ujumbe wa Wabunge hao walioongozwa na Spika wake Mh. Anna Makinda kwamba mashirikiano hayo yanaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kuwepuka hitilafu za vyombo wakati vinapotoa huduma ya usafiri kwa abiria wa pande zote mbili.

  " Baadhi ya Wafanyabiashara wetu wamekuwa na tabia ya kutuletea vyombo kachara vilivyochakaa kutoa huduma ipasavyo ambavyo ni hatari kabisa kuvitumia kwa maisha ya wasafiri wetu". Alieleza Balozi Seif Ali Iddi.

  Alisema Serikali hizo zimesisitiza kwamba kazi za mashirikiano hayo kwa mamlaka hizo ni vyema zilenge zaidi katika shughuli za upasishaji wa vyombo husika.

  " Itapendeza na kujenga mazingira bora inapotokezea mamlaka moja ikitoa maamuzi kuhusiana na chombo chenye hitilafu ya kiufundi na ile ya Pili kuweka baraka zake. Hii inatokana na sababu ya vyombo hivyo vya usafiri kuhudumia Wananchi wa pande zote mbili".Alisisitiza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

  Balozi Seif alieleza kwamba Serikali itajitahidi kwa kufanya uchunguzi wa kina na kitaalamu kuona iwapo vyombo vya usafiri vilivyopo hivi sasa vinafaa kuendelea kutoa huduma.

  Akizungumzia suala la janga la Meli ya M.V Skagit Balozi Seif aliueleza Ujumbe wa Wabunge hao wa Bunge la Muungano kwamba Wazamiaji wa Israel walioko katika Hoteli ya Kitalii Nungwi kwa kushirikiana na Timu ya wazamiaji wazalendo wanaendelea na zoezi la kuitafuta Meli hiyo ya M.V Skagit.

  Alisema zoezi hilo la uchunguzi wa kuitafuta Meli hiyo lilianza jana katika eneo ilipozamia la karibu na Kisiwa cha Chumbe bila ya mafanikio licha ya kina kidogo cha maji cha Mita 30 hadi 38 ikilinganisha na kile cha Mkondo wa Nungwi.

  Alisema siku tatu za maombolezo zimemalizika hivyo amewakumbusha waumini wa Dini na madhehebu mbali mbali pamoja na Wananchi kuwaombea dua katika majengo yao ya Ibada hapo kesho wale


  marehemu waliotangulia mbele ya haki kutokana na ajali hiyo.


  Balozi Seif alifafanua kwamba Serikali imeshatoa ruhusa kwa Wananchi watapozipata maiti za wahanga wa ajali hiyo kuizika sehemu hiyo hiyo kulingana na muda ulivyopita.


  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliupongeza Ujumbe huo wa Wabunge ukiongozwa na Spika Makinda kwa kitendo chao cha kuja kufariji wafiwa ambacho kinathibitisha kuguswa kwao na tukio hilo.


  Akitoa shukrani kwa Niaba ya Timu ya ujumbe wa Wabunge hao Mbunge wa Jimbo la Magomeni Mh. Mohd Amour Chombo amezipongeza jitihada za Serikali zote mbili zilizochukuliwa katika kukabiliana na janga hilo.


  Mh. Chombo alisema hatua hiyo ya muda mfupi imesaidia kunusuru vifo na majeruhi kadhaa wa ajali ya Meli hiyo ya M.V Skagit.


  Hadi jana jioni wazamiaji kwa kushirikiana na Vikosi vya Ulinzi vya pande zote mbili Nchini wameweza kuokoa jumla ya Maiti 68 na waliohai ambao wengine walipata majaraha 146.


  Na
  Othman Khamis Ame
  Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar


  [TABLE]
  [TR]
  [TD="align: center"]Reactions:: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  . Monday, July 23, 2012 0 comments [​IMG] [​IMG]
  [h=3]CCM Mjini Kigoma[/h]
  [​IMG]
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye uwanja wa Community Centre Mwanga, Kigoma  [​IMG]
  Habibu Ally wa kikundi cha Ujiji cha Sebene akicharaza kinanda akiwa chali wakati wa mkutano huo  [​IMG]
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga Kigoma. Chanzo: Bashir Nkoromo
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,088
  Likes Received: 6,554
  Trophy Points: 280
  amelala nazo.

   
 13. s

  sambestman Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ama kweli chenye mwanzo kina mwisho ...kila nikisom michango ya wanaccm wenzangu naona ni kataka tamaa viva ccm though we are dying softly
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CCM hawanunui waaandishi wa habari kama ilivyo CDM. nhabari kama hiyo ingesemwa na CDM ungeona kwenye Tanzania Diama na Mwanahalisi ambavyo zingepambwa.
   
 15. m

  mob JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  mkuu waandishi wahabari huwa wanaandika kitu ambacho wanaona ni habari na hawaandki mipasho.ok by the way inamaana chadema ndo wamiliki wa magazeti yote au tuseme na hao waandishi wengi ni chadema
   
 16. m

  muchetz JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Welcome to JF

  Join Date : 23rd July 2012
  Posts : 7
  Rep Power : 302
  Likes Received: 0
  Likes Given:0
   
 17. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Badili kichwa cha habari
   
 18. k

  kipuri Senior Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  1000 Likes
   
 19. SONGOKA

  SONGOKA JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,710
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  dalili ya kufa kwa taifa lolote ni pale "wasiojua wanapokua na ujasiri wa kusema na kuandika kushinda hata wanaojua, na kuiaminisha jamii ya wapumbavu na wajinga kuwa ndio wanajua na waliokaa kimyaa kuwa hawajui, wototo wakikua watayakuta hayo na kuyarithi"

  uko kundi gani mkuu???????????????
   
 20. n

  nhassall Senior Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaani kichwa cha habari na mada tofauti kulikoni wewe uliyeposti hapa, mwili na roho yako vimetengana ama kichwa chako na ubongo vimetengana nini?
   
Loading...