Wabunge wapenda posho,sasa kusaini mara mbili-makinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wapenda posho,sasa kusaini mara mbili-makinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marire, Jul 23, 2012.

 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,417
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  Akiahirisha kikao cha bunge makinda amewaambia wabunge kuanzia sasa watasaini asubuhi na kikao cha jioni ili kudhibiti watoro.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ndio njia yake ya kukomesha utoro?
   
 3. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  The whole signing thing is an indication of lack of self displines...as much as it won't help to instigate displines to indiscipline group it is disgusting
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii ni aibu kubwa kwa wawakilishi wetu hawa.
   
 5. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,417
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  tulioishia la saba shule za tunapata shida embu tafsiri mkuu wagu
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Bunge tukutu sio tukufu tena,hata masaburi analijua hilo ndo maana alisema wabunge wanatumia makalio kufikiri
   
 7. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwani hawana sheria za bunge za kudhibiti watoro mpaka ku-assess kwa kutumia registers! Hili bunge linaendeshwa kizamani sana!
   
 8. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Suala zima la utiaji sahihi ni ishara ya ukosefu wa nidhamu binafsi. pamoja na kwamba nidhamu haitaletwa na kutia sahihi kwa kikundi hiki kisicho na nidhamu, kukosa kwao nidhamu kunakera.
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ndio athari za shule za kata!
   
 10. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sio aibu wenzako wameshaona wanapitisha au kubariki uozo wa serikali thaifu na dili za mawaziri na posho kubwa kubwa kuna watu leo lisu kasema wanapokea posho tatu au mbili kwenye kikao kimoja kila kikao ni kati ya 500,000 mpaka laki nane akamtaja anna abdala katika bodi mojawapo
  kila siku maswali yaleyale majibu yaleyale hata ukiangalia hakuna haja ya kuwa na bunge kula kodi zetu kwa nini kipindi cha maswali aubuhi wasijadili swala kubwa moja mfano ajali za mabusi ya abiria wakatatua yaani kupata usuluhishi kabisaa

   
 11. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,417
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  lakairo,lusinde waote tumeishia la saba unachoshangaa nini sasa au kwa kuwa umesomeshwa kwa pesa za kifisadi
   
Loading...