Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 21, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  • Dhulma ya Tanganyika litan'gooka sasa. Tuko Tayari kwa kila kitu, hili swala tumelivaa kiimani. Hatuwezi kulipata nchi bila kuingiza Uislamu.
  • "Tunadai Zanzibar yetu Kwenye makucha ya Tanganyika Kiimani sasa"
  • Akitajwa Kiongozi Mwislamu hata kama katukera, tusimlaani. Wakitajwa wale makafiri, Jina lake mpaka litafute Juisi.
  • Umuhimu wa Waislam kuwa na nchi yao, kuilinda na kuitetea nchi yao.
  • Je Kwani mnanchi nchi? Nchi yenu imeibiwa na Wakristo
  • Tusikubali utawala wa watu makafiri wababe, kama nabii rasul Musa. Tunataka taifa letu
  • Njia tu ya kupigania uhuru ni Jihad. Lazima tupigane kama watu wadini
  • Wabara wapumbavu, wamezoea kuingia mikataba ya kijinga ya kunufaisha mafisadi na wageni. Sisi hayo hatutayakubali. tunaitaka nchi yetu
  • Mkiombwa kupigana kwa ajili ya nchi yenu mko tayari? Kwa maana mnayoyataka inafika muda mnalazimika kupigana
  • Mnakufa kwa maradhi yanayotibika
  • Tukifa sisi bila kuwapa nchi, vizazi vyetu vitakuwa wakiristo !
  • Tunayemtaka ni jemedari wa kutuongoza kuikomboa nchi yetu
  • Watanganyika na wakristo ni wezi, wanaiba matrillioni. Wamepandikiza chuki na wizi wao kwenye mashirika ya umma. Kila wizara na taasiri inanuka ufisadi. hatutaki muungano
  • Baadhi yao wanajifanya kuzungumzia wanzanibari kuhusu muungano. Waacheni wanznibari wajiamulie, njooni hapa muuwailize wanzibari kama wanautaka huo muungano wenu.
  Maneno yao hapo sikiliza.....Inatisha. Muungano umekwisha, waachani hawa watu waende wanapandikiza chuki mbaya kwenye kivuli cha Udini. Kwa mwendo huu, muungano umekufa

  [video=youtube_share;xXMONXpT5k M]http://youtu.be/xXMONXpT5kM[/video]

  [video=youtube_share;RHYJADVg4x Y]http://youtu.be/RHYJADVg4xY[/video]

  [video=youtube_share;870Wy0I8lUc]http://youtu.be/870Wy0I8lUc[/video]

  [video=youtube_share;a1XSP0ClhSY]http://youtu.be/a1XSP0ClhSY[/video]
   
 2. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ..Temea mate chini....usiseme hivyo Mkuu....Please
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Serikali tatu, itamaliza hili tatizo.
   
 4. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  karibu kwenye harusi ya dk slaa tunachinja ngamia yakhe
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Kazi mbona ipo....Tanganyika ina wadhulumu Zanzibar? Toka lini?
   
 6. S2dak_Jr

  S2dak_Jr Senior Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu anaongea hadi povu linamtoka.


  Anza wewe kujichinja mwenyewe na jambia.
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kaka siyo maneno yangu. Sikiliza video. Ni maneno ya viongozi wa Uamsho (masheikh)
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh tumefikia mahali pabaya kwakuwa watawala wameshindwa kutimiza wajibu wao bahati mbaya bado wanataka kutawala.
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,781
  Trophy Points: 280
  Meneo gani naweza pata urojo wa bei chee walau sadolini moja?

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Du!! sasa wakati wakujitoa muhanga umefika kwastyle yao ya ndevu tuepuke mikusanyiko
   
 11. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,371
  Likes Received: 8,463
  Trophy Points: 280
  Weka hapa hiyo clip tuione
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  kakangu clip gani? hauoni nimeweka video clips mbili?
   
 13. MANI

  MANI Platinum Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Hivi wanashindwa hata kufanya reference za tawala zilizopita ?
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Tuna mda mchache wa kuwahita magaidi...Al-qaeeda...Al-shaabab,Bhoko haram...nalazima tuwavulumishie mabomu ya machozi na risasi zaukweli...maana kama mnaingiza udini katika siasa hatutakubali sisi wa Tanganyika kutuita makafri..pili nyie ni masikini sana huko visiwani leo iweje mseme Tanganyika inawahujumu????
   
 15. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Liwalo na liwe!
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,749
  Trophy Points: 280
  Yan leo umeonesha jinsi uamsho walivyo magaidi na wewe ukiwa kiongozi!
  Kaa mkao wa kula mabomu na risasi za moto ziko kwaajili ya magaidi kama wewe.

  Nashangaa hadi sasahivi haujajitoa muanga una subiri nini wewe usiye mpumbavu.
   
 17. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Hivi viongozi wa nchi hii wako wapi? suala kama hili sio la kulipuuzia au kutumia nguvu kulitatua cha muhimu hapa ni kutafakari kwa kina hawa UHAMSHO wapo nyuma ya serikali ya mapinduzi hususani CUF kwani kabla ya ndoa kati ya CCM na CUF vuguvugu hii haikuwepo lakini sasa imekomaa baada ya hii ndoa, kwani inabidi tujikumbushe maneno aliyokuwa akiongea Maalim Seif miongoni mwa maneno yeke ilikuwa suala la Muungano(kuhusu kujitenga), cha muhimu hapa ili kuondokana na kufika kikundi hiki kikawa kama BOKO Haram ni muhimu tuwaachie Zanzibar yao na sisi tubaki na Tanganyika yetu kwani imefikia mpaka sisi waislam tuliopo bara tunaitwa Makafiri maana hawajachanganua kuhusu kauli yao. JAMANI VUNJENI HUO MUUNGANO KWANI UNA FAIDA GANI KUUNG'ANG'ANIA?
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,471
  Trophy Points: 280
  hapa wameokosea nini? ni kweli kabisa 100%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%% nani anabisha?
   
 19. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  to be nonesty,mambo wanayotendewa wa bara huku z bar huwezi kuvumilia,wanatengwa kila idara,kuanzia kazini,shuleni hadi wanapoishi!wiki iliyopita walitaka kuchoma tena kanisa la roman,kwa bahati nzuri police walipata taarifa mapema na kwenda kulizingira kanisa!kwa kweli mambo yanayofanyika ni mengi sema hayatangazwi kwny media!serikali inaficha ukweli...
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Zanzibar sio nchi
   
Loading...