Aibu uokoaji wa wahanga wa meli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu uokoaji wa wahanga wa meli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Straight corner, Jul 22, 2012.

 1. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii sasa thihaka kwa waathirika wa meli iliyozama Zanzibar! Ndugu zangu nikiwa naangalia taarifa ya habari ITV, nimeona waokoaji wakilalamika kuwa baharini kuna miili ya watu wengi tu ila wanashindwa kufanya uokozi sababu hawana vifaa!!!
  Jamani, meli yenyewe inasadikiwa kuzama kwa uzembe halafu wanasema vifaa vya uokoaji havipo. Vifaa vyenyewe ni gloves, machela, mafuta ya boti n.k. Jamani wahusika (serikali) acheni mzaha na wananchi. Hivi haya magloves ni tofauti na yale yanayodaiwa na madaktari? Hii nchi jamani acheni masihara hali siyo kabisa!!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  kidumu chama cha mapinduzi.....

  Hata gloves jamani?????? Aibu
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sasa kama kwenye mahospitali watu wanakufa kwa kukosa huduma muhimu sembuse maiti tena iliyo baharini
  Hao ndio CCM bwana wengine photocopy!
   
 4. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu nafikiri hawa watu wangejiweka ktk nafasi za wale waathirika wangepata jibu sahihi.
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Hapo kuna mgongano wa kimaslahi na utendaji....serikali haitaki kuopoa maiti zaidi ili kuficha ukweli w aidadi waliokufa,rejea ile meli iliozama nungwi.walifurahi sana ilipopotelea baharini!!!sasa hii haijaenda mbali sana miili inaweza kuibuka na hata meli yenyewe inaweza kuibuka!!wazamiaji wanataka kuendelea na zoezi serikali haitaki!!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM......
  hivi kama meli inatakiwa kubeba watu 200.....hii si inamaanisha kila mtu atakuwa na kiti.....?
  kwa nini kwenye kila kiti wasiweke life jacket....? mbona kwenye ndege inawezekana......?
   
 7. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mi naona tuwe tunasafiri na vifaa binafsi vya kuokolewa kama gloves na mafuta ya boti kama ikitokea ajari kama hii wawe wanachukua na kutuopoa na sio kutuokoa
   
 8. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu Skills4Ever, unachokisema kinaweza kuwa na ukweli % nyingi tu. Lakini nihatari sana.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hivi zanzibar nayo ni ccm?
   
 10. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Leo taarifa ya habari TBC nimemuona mnafiki shein akiomba dua kwa ajili ya watu waliokufa. Kesho utasikia Serikali imesimamisha zoezi la kuokoa miili. Habari ndio hiyo...
   
 11. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,186
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni zaidi ya ile tuijuayo!
  1. Ni nchi ya migomo ktk karibia kila sekta mf. walimu, madaktari, wanafunzi wa vyuo vikuu n.k.
  2. Nchi ya majanga (nadhani inaongoza Afrika). Ajali za barabarani na majini ambazo zinaongoza kutoa roho za wananchi wasio na hatia! Na kwa ukosefu wa vifaa vya uokozi (mf. boti, petrol, gloves) serikali yetu inashindwa hata kuopoa maiti zikazikwe na ndg kwa heshima.
  3. Nchi ambayo raia wake wanagandamizwa ama kwa kudai haki zao au kutetea
  /simamia ukweli.
  4. Nchi ambayo uporaji wa rasilimali za taifa unafanyika waziwazi kwa kisingizio cha uwekezaji usiokuwa na kichwa wala miguu.
  4. Nchi ambayo raia wengi wamekatishwa tamaa na ugumu wa maisha ilhali ufisadi ukishika kasi na kuonekana ni jambo la kawaida.
  6. Nchi ambayo haithamini wasomi wake japo inatumia rasilimali nyingi sana kusomesha wataalamu ambao hushindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo kutokuwa na mazingira mazuri ya kufanyia kazi au kutowalipa mishahara inayoendana na taaluma zao.
  7. Nchi ambayo wanasiasa ndio wenyewe sauti na maamuzi ya mwisho kwa mstakabali wa taifa.
  8. Nchi ambayo imejaaliwa rasilimali za kutosha lakini wananchi wanaogelea ktk bahari ya ufukara na pia imo miongoni mwa nchi FUKARA zaidi duniani!
  9. Nchi ambayo..........
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Baraza la wawakili wako busy na mjadala wa muungano, sijui ni muungano wa nini wakati maiti ziko baharini?
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Sasa unadhani watafanyaje na vifaa hawana.
   
 14. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  View attachment 59565

  Si wameleta hii imeshindwa nayo kazi?!

   
 15. Lenja

  Lenja Senior Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu wana JF, ktk mambo ambayo sisi .km taifa linadhihirisha wataalam/kitengo cha maafa/serikali inaonyesha haipo makini ni hii ajali. Tunakumbuka ajali ya MV Bukoba; ajali ya majuzi tu ya Islander. Haya majanga yalikuwa MAFUNDISHO tosha KABISA kutufanya kujijenga kukabiliana na majanga mengine ambayo yangejitokeza km hili. Nakumbuka Mv Bukoba, tuliagiza wazamiaji kutoka S.Afrika kukja kutuyokolea watu wetu. Ssa hapa najiuliza, kwa muda muda wote huo, hatukuweza kuwapeleka watanzania wenzetu, nje, aidha hukohuko SA au pengine duniani wakapata huo ujuzi, ukaokoa angalao maiti za ndugu angalao tukazika kwa HESHIMA. Najua serikali itajitetea haina hela. Mi naona ni heri KUPUNGUZA BAJETI YA W. UJENZI yenye matrilion, tukaendelea na tabu ya barabara, lkn tukawafundisha watu wetu/tukanunua VIFAA vitakavyookoa maisha ya WATANZANIA WATAKAOWEZA POTEZA ROHOO ZAO HAPO BAADAYE, wakaendelea kuishi. Nimeona kwenye TV, wazamiaji wetu wakisema, "....tumeenda mita 30 hatukuiona meli, na hatuna uhakika sehemu sahihi ilipozamia........"Hii ilinishangaza sana, kwani siku ya ajali kuna watu waliokolewa wakiwa juu ya sehemu ya hiyo meli ambayo ilikuwa bado haijazama.....cha kushangaza leo baada ya uhuru, sisi km nchi tunashindwa ku-mark point on the surface of ocean for 2morrow reference. Ni aibuuuuuuuu. Vipo vifaa vya ku-ditect vitu ktk maji, je nchi inashindwa kuvinunuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Nani azaliwe aokoe hiki kizaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Waswahili wanasema "KUFANYA KOSA (kwa mara ya kwanza) SI KOSA. KOSA NI KULIRUDIA HILO KOSA (kwa mara nyingine). Tukiilaumu serikali yetu tunaioneaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 16. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wafiwa wanawekwa ktk wakati mgum sana pale anapoona kuna uwezekano wa kupata mwili wa ndugu yao halafu anaambiwa haiwezekani kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
  Inauma sana!!
   
 17. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu Ritz, naamini ungepewa jukum la kuwezesha kifaa kimojawapo, mathalani gloves, we binafsi ungeweza. Iweje serikali????
   
 18. Lenja

  Lenja Senior Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu wana JF, ktk mambo ambayo sisi .km taifa linadhihirisha wataalam/kitengo cha maafa/serikali inaonyesha haipo makini ni hii ajali. Tunakumbuka ajali ya MV Bukoba; ajali ya majuzi tu ya Islander. Haya majanga yalikuwa MAFUNDISHO tosha KABISA kutufanya kujijenga kukabiliana na majanga mengine ambayo yangejitokeza km hili. Nakumbuka Mv Bukoba, tuliomba wazamiaji kutoka S.Afrika kuja kutuokolea watu wetu. Sasa hapa najiuliza, kwa muda muda wote huo, hatukuweza kuwapeleka watanzania wenzetu, nje, aidha hukohuko SA au pengine duniani wakapata huo ujuzi, tukaokoa angalao maiti za ndugu zetu, angalao tukazizika kwa HESHIMA. Najua serikali itajitetea haina hela. Mi naona ni heri KUPUNGUZA BAJETI YA W. UJENZI yenye matrilion, tukaendelea na tabu za barabara zetu, lkn tukawafundisha watu wetu/tukanunua VIFAA vitakavyookoa maisha ya WATANZANIA WATAKAOWEZA POTEZA ROHOO ZAO HAPO BAADAYE, wakaendelea kuishi. Nimeona kwenye TV jana na juzi, wazamiaji wetu wakisema, "....tumeenda mita 30-40 hatukuiona meli, na hatuna uhakika sehemu sahihi ilipozamia........"Hii ilinishangaza sana, kwani siku ya ajali kuna watu waliokolewa wakiwa juu ya sehemu ya hiyo meli ambayo ilikuwa bado haijazama.....cha kushangaza leo baada ya uhuru, sisi km nchi tunashindwa ku-mark point on the surface of our ocean for 2morrow reference. Ni aibuuuuuuuu. Vipo vifaa vya ku-ditect vitu ktk maji, je nchi inashindwa kuvinunuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Nani azaliwe aokoe hiki kizaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Waswahili wanasema "KUFANYA KOSA (kwa mara ya kwanza) SI KOSA. KOSA NI KULIRUDIA HILO KOSA (kwa mara nyingine). Tukiilaumu serikali yetu tutakuwatumeioneaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 19. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bw Lenja, hata mimi nashangaa!! Nchi hii haina mipango ya mda mrefu kukabiliana na matatizo! Pia hizi nafasi yawezekana zipo ila wanaopelekwa nje sio walengwa bali watalii wakirudi wanaendelea na shughuli zao.
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Tuwashangae hao wazanzibari kukiweka madarakani chama kisicho wajari waacheni waandelee kufa huku viongozi wao wakishiba rambi rambi inayotolewa ambayo haiwafikii wahanga na wafiwa
   
Loading...