Spika Makinda hana subira? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Makinda hana subira?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nakyoganzala, Jul 23, 2012.

 1. n

  nakyoganzala Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :spy::spy:Kwa kweli spika wa tanzania amezidi kudakiadakia wakati wabunge wanatoa michango yao haoni kama ana jishushia heshima? Hana washauri wa kumweleza wadhifa huo ni mkubwa na unahitaji mtu mwenye kifua na mvumilivu. Pia ajue anaongoza watu na heshima zao awakosoe kwa makini na kama anaongea na viongozi waliochaguliwa na wananchi naakili zao......................................................... tabia hiyo ikomeeeeeee:spy::spy:
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ana tabia ya vibibi na vibabu kuwakoromea wajukuu
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Hana hiyo unayoiita heshima, ndio maana dhana ya kuilinda haipo. anapayuka payuka hovyo, lazima achomekee vimaneno yaani lipo lipo lile Nungayembe! Wenzake wazuri wazuri wameolewa lenyewe limebakia na gere! Akiongea mwanamke kwanini ameolewa!!!!, akiongea wa kiume kwanini hakunioa mimi!!!!
  Yaani limechanganyikiwa ile mbaya.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, kwa hiyo wabunge ni wajukuu wa spika?

   
Loading...