CCM hawakuhitaji kura za wafanyakazi kushinda 2010 na hawazihitaji 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hawakuhitaji kura za wafanyakazi kushinda 2010 na hawazihitaji 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Jul 23, 2012.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kupitishwa kwa Sheria ya mafao ya uzeeni inayozuia wafanyakazi kulipwa withdrawal imedhihirisha kuwa CCM si chama cha wafanyakazi na wakulima bali cha wafanyakazi, kingekuwa cha wafanyakazi kingeheshimu matakwa ya wafanyakazi.

  Mh Kikwete aliwahi kusema kuwa hata kama wafanyakazi wasipompatia kura bado atakuwa rais na ilikuwa hivyo, kwa kupitisha sheria hii mpya wanatudhihirishia kuwa hawahitaji kura za wafanyakazi 2015.

  Binafsi nadhani kuzuia withdrawal itawanufaisha wafanyakazi wa mifuko hii ya pension na wanasiasa (watawala) zaidi kuliko wafanyakazi. Ingekuwa hii mifuko ipo kwa ajiri ya wafanyakazi basi menejiment yake ingekuwa inawajibika moja kwa moja kwa wafanyakazi na wafanyakazi kupitia vyama vyao ndio wangekuwa waajiri wa wafanyakazi wa mifuko si vinginevyo.

  Hii ni miongoni mwa sheria feki zilizowahi kupitishwa na bunge letu dhwaifu
   
Loading...