Chadema isijarabu kuingia mikoa ya pwani- wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema isijarabu kuingia mikoa ya pwani- wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jul 22, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema

  wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama.
  Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu ambacho wanasema hawataki tena Kuona kinatendeka.
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wamesema wangapi?
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nani kakudanganya wewe, uliyaona ya LINDI na Mtwara? km wewe ni magamba stop kudanganya umma. Chadema 2015 madarakani
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Pwani ipi ambayo Chadema haiko? Kama ni Kibaha Mchange alishashinda Ubunge mkamchakachua, Mtwara na Lindi kila mtu anajua kilichotokea au kama hajuia amuulize Membe mpaka akakiri kwamba jamaa wajiandae kuchukua dola... Dar ndio usiseme... Zanziba hawashughuliki nayo kwa sababu sio sehemu ya Tanzania na hata Ndugai na Makinda wanajua hilo ndio maana walikataa bunge lisiahirishwe na Muungano utavunjika tarehe 26.04.2014 wakati wa uzinduzi wa katiba mpya. Pwani unayoisema?
   
 5. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Upuuuzi mtupu, hayo maendeleo ya kaskazini yalitokea chini ya utawala wa chama gani? Chadema au?
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Pwani ya kwenye masaburi yako ya kichina au ?
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mbona hapa napoishi watu wa pwani ndio wengi katika tawi letu? Au wewe unaizungumzia pwani ipi?
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo CHADEMA ndio wamewasababishia huo umaskini. Hivi watanzania ni lini mtakuwa na akili zilizo komaa na kuleta hoja zenye maana na tija kwa taifa hili? Kwa mtindo huu ndio tunaenda kwenye shirikisho la EAC hata kujenga hoja hatuna uwezo tunategemea nini? Nakushauri jaribu kuwa mtu mzima na kuleta hoja zenye mashiko na tija kwa taifa...Forum hii inasomwa na watu dunia nzima, sasa kwa wale wanajua kiswahili wakisoma hoja kama hizi wanaona namna ambavyo watanzania ni mabogasi na wasio jua wanafanya nini. Nakushauri jaribu kukuza ubongo wako kwa kujilisha mambo yaliyo na msingi, hii ni dalili kuwa una matatizo ya ubongo.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  chadema mtabaki huko huko kwa washaga,
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pwani inajumuisha mkoa wa Dar es Salaam. Jimbo la Kawe, jimbo ambalo familia ya Mwl Myerere, Mzee Mwinyi, Mzee Sykes, na wazee wangi waliopigania uhuru/vigogo wa nchi hii wanaishi liko chini ya CHADEMA. Jirani jimbo la ubungo nalo liko chini ya CHADEMA. Hiyo Pwani inayoongelewa ni ipi? Na watu wa Pwani wameridhika na mambo yanavyokwenda?
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Niliposema kuwa shule yako ndogo wengine walidhani kuwa nakuonea, hapo kwenye red maana yake nini? Very bogus person.
   
 12. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Mpesapesa you have been so abnoxious in threads you start and in comments you make in a number of threads. I wish you a good night the one you should not wake
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ahahahhaa. Sasa unahangaika nini kujibu hoja za shule ndogo? Kinachongasa wewe hilo tungi la umeme unayotumia limetengenezwa kenya, chumvi kenya.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Acha kuhangaika, Mikoa ya pwani sio yenu, yenu kwa washaga
   
 15. M

  Magesi JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa ID yako unayotumia unadhihirisha udhaifu wako M4C DAIMA MPAKA LUMUMBA GAMBA MKUBWA WEWE
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kwa washaga?
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hivi hujisikii aibu kumwaga pumba zako humu?
   
 18. M

  Maga JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Acha poroja za kimagamba wewe!!! Kajipange upya
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ati unajifanya kuwa ukukosea kusema WASHAGA, una mambo ya kitoto wakati ni baba zima lenye wake wanne.
   
 20. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tusisumbue vichwa,haya ni mawazo ya mtu na amelipwa kwa kufanya hivyo , Najua ccm kuna watabiri,waganga wa jadi,mafisadi,wauaji n.k hivyo sishangai kuona mtu anajitapa kuwa watu wa pwani wamesema hivyo pasipokuwa na source.Jambo la msingi ni kukumbuka kwamba siasa za ukanda,udini,ukabila,mauaji na uchakachuaji zinaendeshe na Chama Cha Maharamia.Pia tusisahau kwamba Mbunge wa Mbozi mhe.Zambi alikiri kwamba,atashangaa endapo ccm itabaki madarakani.Pia Mzee Mzindakaya amewahi kukiri hilo na hii inatokana na akili kama za mleta maada kuonekana zina tija kwa ccm!
   
Loading...