Bungeni Kuweni Wabunifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni Kuweni Wabunifu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Jul 26, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nasikiliza bunge hivi sasa, kwanza nilianza kwa kucheka, halafu nikapata hasira, na hii si leo tu.

  Kwanini wabunge wanawasilisha hotuba zao kama wamebonyezwa "Fast forward"?

  Hotuba zinakuwa hazina raha kusikiliza inakuwa ni kero.

  Kwanini wasi-summarize? Au waongezewe muda wazisome kikamilifu? Maana jinsi zinavo-boa hizo hotuba zao wanavyozisoma unaona kuwa wabunge wengine hata hawafatilii hizo hotuba, wapo bize na mambo yao.

  Wabunge kuweni wabunifu mnakera.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Anayetakiwa kuwa mbunifu ni Makinda
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Upo sahihi zomba, tena unasikia wabunge wakiwa wanapiga soga na wengine wakiongea na simu.

  Ila, si ajabu na hili likaonekana ni kuwakosea adabu 'waheshimiwa' na hivyo wakaendelea kushikilia msimamo wa kuletwa muswada wa kudhibiti mitandao inayo-'wachafua'.

  Kazi ipo!
   
 4. peri

  peri JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wanakuwa kama wan rap, mtu wala hauwezi kufuatilia wanachosoma.
  bora wafupishe kuliko kulipua wanakofanya
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nilimsikia yule bibie alyeripotiwa kesi zake za Maryland ndio kashikilia hilo.
   
 6. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kuna wengine utasikia kabla hata hajachangia anasema nisije nikasahau naunga mkono hoja kuna siku nyingine nilimuona kupitia tbc mbunge jafu anagonga tu meza wakati anaongea na kigangwala
   
 7. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa wanaboa mno!

  Nadhani Spika ndiye anapaswa kusimamia hili, kuongeza muda hasa kwa wale wanaowasilisha maoni ya Kamati na maoni ya kambi ya uppnzani kuliko kuwabania na kuwapa muda wabunge wanaochangia na kupongeza tuuuuuuuuuu hadi kengele zinawagongea.

  Wengine kazi kushukuru wake zao na watoto wao, wanatumia muda na pesa ya mlipa kodi vibaya.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ni wabunge wenyewe. Makinda ndio anawaandikia hotuba zao?
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Na Juma Nkamia?
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ndio anawakimbiza kwa Muda
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo sijamsikia, mie nilimsikia Leticia Nyerere.
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  na yule aliyesaini mafao yetu tulipwe tukiwa wafu ni mbunifu? Hii inadhibitisha udhaifu umetoka mbali sana viongozi wetu hawana tabia yakupitia nyaraka /makalubashi huanguka signature tu
   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  zomba,

  Naona Mhagama kashtukia sasa, mtu anaongea hadi anasahau anajadili nini.

  Wataendelea kuiona mitandao kuwa 'inawatukana viongozi' kwa mtindo huu.

  Wanakula muda wetu hivi hivi, ndo maana sheria za ajabu zinapita hadi wao wanajishangaa in next 2months tu!

  Tunatakiwa kuhoji 'Value for money' maana wana sitting allowance ambapo ni Tanzania inayowalipa!
   
 14. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Some of them kazi mitusi na ushabiki including usingizi bila kusahau neno ndioooooooooo....
   
Loading...