MTEGO wa DR.ULIMBOKA uko tayari... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MTEGO wa DR.ULIMBOKA uko tayari...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 19, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Serikali imeshakamilisha mtego wa kumzima kabisa Dr.Ulimboka. Mtego huo umeratibiwa na Usalama wa Taifa na Polisi kupitia kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Eliezer Feleshi. Mtego huo ni upi? Ni hivi:kuna 'Jambazi' la kikenya lililofikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumteka na kumtesa Dr.Ulimboka. Kesi iko Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

  Sasa,kuna taarifa kuwa Dr.Ulimboka anaendelea kupata nafuu na ameshaanza kufanya mazoezi mepesi. Ni habari ya kutia moyo. Lakini,Dr.Ulimboka atakaporudi nchini,atatamani akutane na Waandishi wa Habari na kuzungumzia sakata lake. Hilo hatafanikiwa kulifanya.Na akilifanya atashtakiwa kwa kuidharau Mahakama. Kivipi?

  Serikali kupitia Jeshi la Polisi litamuwahi kwa kumwambia kuwa suala analotaka kulizungumzia liko Mahakamani. Dalili za kusimamia mtego huo zimeshaanza kuonekana Bungeni.Ni juzi tu Bajeti ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ya Mambo ya Ndani ilizuiwa(baadhi ya kurasa zake) kwa kisingizio hichohicho. Swali litakalobaki ni je,mambo hayo ndio yataishia kwa 'Jambazi' la Kikenya?
   
 2. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  kweli hii ni kazi ngumu
  haiwezekani kutumia mahakama kam kichaka cha kuficha maovu
   
 3. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyovyote vile haki lazima itasimama tu,haijalishi mitego ni mikubwa kama ya kumnasa tembo.God is just
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  VUTA-NKUVUTE Hebu tufafanulie kidogo mkuu, hapo Usalama wa Taifa wanahusika vipi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. k

  kibali JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Uli atazuiwa kama nani? yeye ni muhimili gani katika hii mihimili mitatu? Mbona kesi ya Kombe magazeti na watu walikua wanizungumzia na wakati ipo mahakamani?
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bado mnamuwaza tu huyu mtu?
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Ushaona wapi mtu anayefanya mambo kihuni huni akafika anakotaka kwenda?
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huu sasa ni uhuni mbona JK aliliongelea Suala la Uli kwa speech yake while ilo Suala likiwa kwa Mahakama
  Naona Mahakama sasa inatumika Kama Kichaka cha kuficha mambo
   
 9. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kweli huyu jamaa according to experience, ni bingwa wa hii kitu.
  Lakini moto huu wa petrol, hakuna ataeweza uzima....hadi kieleweke baba..
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Waandishi wa habari wamfuate huko huko ,kama wale waandishi wa Kimataifa wanaweza kuifanya kazi hiyo ,au hata madaktari wanaweza kumfanyia mazungumzo na kuhusisha masuali mazito kwake ,kama anawafahamu waliomteka ,kuwataja majina kiasi ya kuelezea kisa kizima kwa yale anayoyakumbuka na kuwa yenye usaili wa kideo sio audio.
   
 11. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  uko sahihi mkuu
   
 12. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nimerudi kutoka kwenye burn,serikali haina namna ya kumzuia mpiganaji Uli kwakuwa yeye sio muhimili na vyombo vya habari si muhimili.
   
 13. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Usalama wa Taifa ni watuhumiwa nambari moja wa sakata la Dr.Ulli.Lazima walihusika kupeleleza na kulikamata 'Jambazi la kikenya'...
   
 14. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sioni hoja ya msingi hapo. Thread yako si ya kufikirika.
   
 15. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Endelea na zako. Ntakuja kukuuliza hapo unapofanyia kazi baadaye...
   
 16. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pambavu si mnasema serikali dhaifu! Udhaifu kwa vitendo oh haki za binadamu
   
 17. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  hakuna haja ya kungoja kuja Tz. Azungumze huko huko na vyombo vya hapa kwetu vinukuu tu yale yaliyosemwa. Video clip iwekwe katika mtandao kazi ya kuisambaza itakuwa imekamilika.
   
 18. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  We nani kakuambia Ulimboka ana mpango wa kurudi Tanzania kwa sasa kabla usalama wake haujahakikishwa?! Ulimboka ni mkimbizi kwa sasa mpaka hali iatakaporuhusu kurudi nchini...meaning 'mtandao' wa serikali hii utakapotoka madarakani!
   
 19. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Usalama dhaifu
   
 20. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Usalama wa Taifa ni maajenti wa kupanga Dili zote za kuangamiza Wananchi wa Tanzania hasa wale wanaodai haki na kusema ukweli kuhusiana na Serikali Dhurumati inayoongoza Tanzania.

  Hivyo kwa kuwa ni maajenti lazima kwa taarifa kuwa Ulimboka anaendelea vizuri wanakuna vichwa namna ya kummaliza kwa njia yoyote endapo atarudi salama ili asiweke mambo hadharani.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
Loading...