NAPE chama umekikuta

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Nape anashtumiwa kuwa ni katibu machachari anaewagawa wanasiasa ki makundi. Najua kuna siku atakwama tu. Uwanasiasa haurithiwi, ikiwa baba yake alikuwa kiongozi mzuri katika nafasi alionayo haina maana na yeye amejifunza kutoka kwake au amezaliwa na utaalamu wa baba yake.

Nape ni katika watu wenye kujipa madaraka na udikteta ambao hawataki mabadiliko wala mawazo tofauti na wengine,tabia ya kujiona nyie ndio wenye mamlaka na wenye chama hilo kwa muamko wa vijana wa kileo halikubaliki ,mchakato wa Katiba umeweka itikadi zote za vyama pembeni ,ni uhuru wa kila raia kusema lile analoliona linamuelekeo na maisha ya mfumo ndani ya katiba.
 
the war within
 
Dogo anapigana vita mwenyewe. Nampa mwaka mmoja tu, kabla hajagaragazwa na wenye chama. Wazee wanasubiri muda ufike tu wafunguke. Chezea EL wewe, uliza 6 ilikuwaje...
 
Nape anashtumiwa kuwa ni katibu machachari anaewagawa wanasiasa ki makundi. Najua kuna siku atakwama tu. Uwanasiasa haurithiwi, ikiwa baba yake alikuwa kiongozi mzuri katika nafasi alionayo haina maana na yeye amejifunza kutoka kwake au amezaliwa na utaalamu wa baba yake.

Nape ni katika watu wenye kujipa madaraka na udikteta ambao hawataki mabadiliko wala mawazo tofauti na wengine,tabia ya kujiona nyie ndio wenye mamlaka na wenye chama hilo kwa muamko wa vijana wa kileo halikubaliki ,mchakato wa Katiba umeweka itikadi zote za vyama pembeni ,ni uhuru wa kila raia kusema lile analoliona linamuelekeo na maisha ya mfumo ndani ya katiba.
Gamba limekuwa Zito tena au ndio amekunyima ujira wako wa tokea jana na leo Asubuhi au kakufukuza kazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom