Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jul 20, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
  leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.


  Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
  huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

  watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu


  KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI


  [​IMG]Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo July 19, 2012

  [​IMG]Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.


  MY TAKE.
  HAPA KAMA DK SLAA ANGALIKUWA NDIO RAIS TUSHALIWA KICHWA WAZT. KIKWETE JUU YA UDHAIFU WAKE TUNAOLAZIMISHWA TUMAINI NA CHADEMA. LKN WA DK SLAA KUBURUDIKA LEO NI WAZI SIO UDHAIFU WA KIUTENDAJI BALI NI UDHAIFU WA ROHO
   
 2. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,296
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  nonsense
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kajipange mkuu hii hoja ni dhaifu sanaaaaaaaaa
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Foolish age
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hii itakost sana mkuu wangu
   
 6. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Vipi huyu Mpesapesa!Anaweweseka baada yakunyimwa mualiko nini?
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,579
  Trophy Points: 280
  Sijui hata ni reply kitu gani...napata kigugumizi cha mikono nahisi naepushwa na ban.
   
 8. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naogopa burn ingawa mkuu unachefua kwa hoja dhaifu 3Dr Jk alivyokuwa anakata mitaa ya majuu kipindi chote cha mgomo wa Doctor watu walikuwa hawafi sio?jua ndoa huwa zimepangiwa tarehe maalumu hujui uliza acha majungu wewe.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nIPO KTK MAOMBELEZI. chadema pigeni bia halafu mnadanganya Umma mnauchungu na wananchi
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Haiwezekani watu tunaomboleza jamaa anaoaaaa Daaaaaaamnnnnnnnn!!huu ni ubinafsi wa hali ya juu
   
 11. mozes

  mozes Senior Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ulitaka harus iairishwe? Nakusubr kesho uje na thread mpya na dhaifu zaidi
   
 12. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Kijana acha hoja dhaifu hii ni kweli kabisa wao wametoka Bungeni kesho SILAA anaoa kwa sherehe wakati Taifa liko kwenye maombolezo je huyu mtu anauchungu kweli na Watanzania? Be a great thinker na Bwana atakuonesha njia
   
 13. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mbona ninyi mlitaka Bunge liahirishwe kijana katika Bwana una macho lakini huoni una masikio lakini husikii kwa kweli unahitaji maombezi
   
 14. s

  sijiwezi Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi sijui hawa watanzania wenyewe mawazo mgando kama wewe wataisha lini?? hivi unategemea CHADEMA wakukomboe? komboa kwanza fikra zako mbofu..fool
   
 15. E

  Escherichia Coli Senior Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani haujaelewa au unaamua kujitoa akili ili uitetee CCM.Tatizo cyo matumizi mabaya bali ni "matumizi mabaya ya fedha ya umma".Mtu mmoja mmoja tunatofautiana sana ktk kile tunachokiita matumizi mabaya lkn kama familia,jumuia,jamii au taifa lazima tuongozwe na vipaumbele.Kuhusu suala la sherehe ktk kipindi hki cha msiba wa kitaifa: Ninadhani ni vizuri kulitambua suala la ndoa ya Dr Slaa kuwa ni suala la yeye na familia,cyo la chama wala taifa kama ulivyolihesabu.
   
 16. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huwa nasikitika sana mtu kama wewe kuunganisha unafiki kisha unataja jina takatifu (MUNGU). I bet hujui ulifanyalo!
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Mbona ndoa ina kuuma sana kwni wewe ulitaka sherehe isifanyike?

  Kwa hiyo kama kuna msiba wtu wasifunge ndoa!

  Sidhani kama hoja yako ina mashiko!

  Leo watu wanavunja jungu kwenye ma club unasemaje?
   
 18. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wewe watu waache kuoana kwaajili ya maafa yanayosababishwa na uzembe wa Serikali.
  Mlizamisha meli ili Dr ahairishe sherehe za ndoa yake.


  Mleta Hoja ni Dhaifu
   
 19. r

  rwazi JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani wivu wako ulitaka uolewe wewe.hivi Dr ndo wa kwanza kuoa tanzania ukitaka kujua wanaokula pesa angalia chereko
   
 20. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  =======================================================

  Your msg is nonsensical.
  Arusi ya Mh. Slaa imetangazwa more than 3 weeks now, ajali ilikuwa haijatokea. By the way, kumbi mbali mbali Dar na kwingineko zitaendelea na sherahe za maharusi n.k, kwani siyo hoja ya msingi kuahirisha mambo ambayo tayari yameshalipiwa GHARAMA za kukodi n.k. ..... Hata hivyo, napoteza muda kumjibu mtu wa low understanding like you.
   
Loading...