Wabunge wa CHADEMA wanakatisha tamaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CHADEMA wanakatisha tamaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, Jul 26, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Naangalia bunge muda huu naona wabunge wengi wa chadema hawamo bungeni hii pia imejitokeza juma lililopita wabunge wengi hawakuwemo. Binafsi nakata sana tamaa na hili.

  Wanakutana muda huu saa saba na robo mara baada ya kuahirisha shughuli za bunge. Tusiangalie kuwa eti mbona ccm wengi pia hawamo naongelea chadema, juma lililopita pia wengi hawakuwemo bungeni na viti vilikuwa wazi. Wao ndio tegemeo la wengi utoro wao unakera.

  Tusiwe wepesi kutetea uozo kwenye chama chetu tutakuwa hatukisaidii chama wala wabunge wake. Wakienda hovyo tupaze sauti tuwaambie tusijenge mazingira ya kuwa na chama au wabunge wasio kosolewa au kusemwa.

  Mwenyekiti Jenister Mhagama ametangaza kuwa kamati inakutana saa saba na robo mchana na si kweli kuwa kamati inayoenda kukutana ina wabunge wote wa chadema. Msitetee tu mapungufu jamani hamuwasaidii hao mnao tetea.
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Unajua idadi ya wabunge wanaopaswa kuwepo Bungeni au umeona chadema tu? Unakumbuka kuwa saa saba lilitolewa Tangazo kuwa wanakikao? angalia idadi ya wabunge wa ccm na chadema waliopo kwa asilimia ni akina nani watoro?
  Njoo na hoja yenye mashiko si kukurupuka
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Naona una lalamika tuu
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ukipenda......chongo utaita kengeza
   
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wabunge wengi tu watoro, co cdm wala ccm, wote ni walewale
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mohamedi Mtoi usijali sana watakuwa wameshasaini posho.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kuna Chadema damu na chadema asilia hapa, kule kuna Chadema Slaa na Chadema Zitto mmmh haya
   
 8. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kama wanaangalia kusaini posho na kuondoka nachelea kusema kuwa wanaiga tabia za magamba ambazo zinachukiza wengi.
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wapo ktk kikao.kilitangazwa asubuhi na spika wa bunge
   
 10. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Zitto kajimaliza mwenyewe hana nguvu labda sema mwingine
   
 11. B

  Bob G JF Bronze Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Usikate tamaa wapo kutimiza majukumu mengine ya kukijenga chama,
   
 12. m

  m_tz Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kosa halihalalishi kosa, kutukuwepo wabunge wa ccm sio tiketi ya wa cdm kutokuwepo. Wewe ndio pumba kweli.
   
 13. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hakuna mtu aliyezaliwa kuishi maisha ya mwingine. Fight for your daily bread na usitegemee lolote toka kwa mwana siasa...kila mtu yuko kwa maslahi yake pale. Huyo JOHN Mnyika kila siku ni miongozo na taarifa lakini ubungo yote haina maji.
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wakihuduria vikao vyote huwa wanakuletea hela ya kula
   
 15. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  wafanye nn? serikali inapinga kila linalochangiwa na upizani,
   
 16. m

  m_tz Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We unafkiri wamegombea kukusaidia! kudadek, ww cheza pool ukitegemea cdm itakutoa. Hiyo inaitwa yarabbi nafsi. Wao kwanza madebe baadae
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mtu atakayetaja tabia hata moja ya wabunge wa CCM ambayo haiigwi na wabunge wa CHADEMA nitampa zawadi.
  Le Mutuz alituambia mpaka rushwa kwa wagombea wanachukua!
   
 18. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa la sisi watanzania ni kujengewa msingi ya unafiki na bado kuendeleza unafiki huohuo kwa kuifuata misingi hiyohiyo. Kwa nini utetee uwongo ili uonekane hulalamiki?!

  Acha unafiki, tuache unafiki kuipenda chadema hakumaanishi kuto kukosoa wabunge au mwanachama mmoja mmoja ndani ya chadema. Kukosolewa ni moja ya nguzo kuu ya kujijenga.
   
 19. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli ni GT? Kwani tumewachagua watupe hela ya kula au kutuwakilisha kwa kutimiza majukumu yao mojawapo likiwa kuhudhuria vikao vya bunge bila utoro? Think or sink...
   
 20. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  subiri miswada ya tume ya katiba, masuala ya tume ya uchaguzi au mengine yenye maslah nao binafsi.
   
Loading...